FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

jamaa wakila kila kiporo chao na Valencia watatuacha point 8. maishaa yetu magumu sana.
upload_2017-1-9_5-55-28.jpeg
 
yule gomes jinga kabisa unaweka nje denis suarez unaacha ndani gomes
Kati ya vitu ambavyo sivipendi na vimetuangusha hadi na wana mtandao wa Barcelona duniani wanalaumu ni transfer ya Andres Gomes eti nasikia jamaa ni striker[emoji28][emoji28] hadi leo hii hajatufungia goli hata moja kwenye official match hata stats zake mbaya. !!
Andres Gomez is not fit for Barcelona na yule mwingine anaiywa Paco Alcecer hivi unaanzaje kumuweka nje Rafinha au Ivan Rakitic na kuwaingiza hao hapo???
 
Trust me mwaka huu tunachukua laliga tena,Madrid atayumba sana mwezi wa 2-3 cos hawana kikosi kikubwa cha teplacement kama catalans!!
Tuta win tremble mwaka huu tena
Hahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.
 
tulikuwa tunasubiri haters mpigepige makelele kukitulia tuje kujadili technical issues.
Bro ulikimbia jana najua leo umeamka safi.
Naona kocha wenu kama kawaida sub zake zile zile, mipango ile ile mna subiri tu faul za Messi basi ndio muambilie chochote
 
Hahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.
We akili yako sio nzuri mwaka 2015-206 tumechukua Laliga wakati Messi amekaa injured miezi miwili na nusu na hata tulipowapiga 4-0 Messi aliingia kama substution!!na amerudi tukaendelea kucheza match 43 bila kufungwa nyie hata match 30 za ushindi hamjafikisha mmeshaona mmeshinda Laliga?utakuja kuniambia hapa mwisho wa msimu nani bingwa
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Mli ishia mechi 39 tu bila kufungwa.
Messi kweli aliumia but alivorudi akiwasaidia mnooo. So mna mtegemea japo siyo ki hivoo. Nadhani asipo kuwepo Iniesta nyie ndio mnakuwa hopeless
 
Back
Top Bottom