mechi gani ngumu mmecheza bila wenye majina. ile mechi na deportivo mlijaribu nusu muangukie pua na haikuwa mechi ngumu.Hahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.
Chief inamaana last week na sevilla hukuona kile kikosi... Tuwe tunapenda ongea ukweli... Barca hawana kikosi kipana na ndicho kinawacostmechi gani ngumu mmecheza bila wenye majina. ile mechi na deportivo mlijaribu nusu muangukie pua na haikuwa mechi ngumu.
Enrique unamuonea.. Jiulize badala ya Messi.. Neymar.. Suarez.. Ww kocha unasub ipi ya kishindokwakweli naanza kutilia shaka uwezo wa Enrique.
Kiongoz nielekeze kidogo ninachojua Madrid wameequal mechi 39 unbeaten run wameifikia record ya Barcelona sasa hili mechi 43 bila kufungwa hii record ya wapi!? Na Madrid sio hajafikisha mechi 30 keshaequal your history.. Hebu nieleweshe mkuu hiz info zako umetoa wapi za mechi 43 na Madrid 30We akili yako sio nzuri mwaka 2015-206 tumechukua Laliga wakati Messi amekaa injured miezi miwili na nusu na hata tulipowapiga 4-0 Messi aliingia kama substution!!na amerudi tukaendelea kucheza match 43 bila kufungwa nyie hata match 30 za ushindi hamjafikisha mmeshaona mmeshinda Laliga?utakuja kuniambia hapa mwisho wa msimu nani bingwa
HahahaKiongoz nielekeze kidogo ninachojua Madrid wameequal mechi 39 unbeaten run wameifikia record ya Barcelona sasa hili mechi 43 bila kufungwa hii record ya wapi!? Na Madrid sio hajafikisha mechi 30 keshaequal your history.. Hebu nieleweshe mkuu hiz info zako umetoa wapi za mechi 43 na Madrid 30
alipewa nafasi ya kutafuta watu wazuri akaenda kuleta Gomes, Vidal, Paco na Turan naye hajafit bado. sasa hapo tusiseme ana makosa?Enrique unamuonea.. Jiulize badala ya Messi.. Neymar.. Suarez.. Ww kocha unasub ipi ya kishindo
Ha ha ha so unataka messi na iniesta waisaidie Madrid?we unajua maana ya key player?nyie hapa dada yenu mwsho wa msimu alipata injury mkawa mnaoata ushindi wakusua sua unadhani hatukuaona?Mli ishia mechi 39 tu bila kufungwa.
Messi kweli aliumia but alivorudi akiwasaidia mnooo. So mna mtegemea japo siyo ki hivoo. Nadhani asipo kuwepo Iniesta nyie ndio mnakuwa hopeless
Nyie iniesta akiwepo hamshindi wenzenu juzi tume mpiga sevilla key players wote wakiwa hawapo.Ha ha ha so unataka messi na iniesta waisaidie Madrid?we unajua maana ya key player?nyie hapa dada yenu mwsho wa msimu alipata injury mkawa mnaoata ushindi wakusua sua unadhani hatukuaona?
We akili yako sio nzuri hivi defending champion wa copa de ley ni nani?uko kiushabiki sana na simulizi za kukaririshwa na wachambuzi (wasimuliaji) wa kibongoNyie iniesta akiwepo hamshindi wenzenu juzi tume mpiga sevilla key players wote wakiwa hawapo.
Ki ufupi hamna depth kama yetu.
Unataka tuanze matusi ama vipi maana sku elewi!!?We akili yako sio nzuri hivi defending champion wa copa de ley ni nani?uko kiushabiki sana na simulizi za kukaririshwa na wachambuzi (wasimuliaji) wa kibongo
Haujui mpira wewe katikati ya league unataka utangazwe bingwaUnataka tuanze matusi ama vipi maana sku elewi!!?
Sasa definding champion mi ina nihusu nini!!? Nimekulelkeza kuwa hamna depth kwenye kikosi chenu, ukiondoa first eleven tu bench lenu kavu, sasa hapo nimekaririshwa wapi!?
Acha kuzingua
HaaaHaujui mpira wewe katikati ya league unataka utangazwe bingwa
Duh ! poleni
Hahaha
La liga niko na Madrid
Namba 1
Tungekuwa huko kwa kiwango chenu now tungekuwa namba mbili.
Maana tume cheza mechi 18 tuna points 39,
Nyie mmecheza mechi 17 mna point 35.
Nashangaa una nicheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poor refalona fan!
Tumeshinda mechi nane mfululizo
Madrid nao wana shinda
Mi niko happy tuu bos [emoji23]
Ile faul garbage keepr ndio alichangia
Sasa alisimama upande ule ule halafu ana hama
Jinga sana yule
Hongera
Bro nipo bhanaHongera