FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hapo sawa. ni matusi mtu mwenye mechi mkononi kuongoza ligi. mmh! halafu kumbe defence yetu siyo mbaya sana. imeruhusu goli 21 tu! forward yetu (goli 71) ni level nyingine japo nayo haiko kwenye ubora wake.

upload_2017-3-2_1-31-49.png
 
Hawa wahuni bila kubebwa kombe tunalibeba.
Katika home straight-Barca naona ana manage ku force issues-Victory after victory inawafanya mtaa wa pili wa panic lets hope hizi foul anazofanyiwa Neymar azita msideline-tunamuitaji sana Messi and Suarez hawa sina wasiwasi nao they will last the distance
 
Ila Madrid siku hizi anabebwa saana kwa kweli.
 
Barcelona tuna kikosi kikubwa sana thats not the problem for us
Tatizo siyo kikosi kikubwa tatizo mtaiweza pressing ya celta

Maana Barca ya sasa ikicheza na timu inayofanya high pressing wanapata tabu sana mpaka unawaonea huruma ,na celta inaisumbua Barca Mara nyingi sababu ya pressing yao
 
tukiweka viungo wanne hawawezi furukuta. tutawanywesha sita kama msimu uliopita. tena msimu huu wana defence mbovu sana.
 
Tunakutakia mapumziko mema Lucho. you have made us proud.

344323-enrique.jpg
19995_heroa.jpg

After Barcelona’s convincing 6-1 win against Sporting Gijón on Wednesday, Luis Enrique put an end to months of speculation and announced he will step down as Barça boss in the summer.

He told the press that he “won’t be Barcelona coach next season” and “needs to rest”. Enrique has been under enormous criticism all season for the Blaugrana's poor performances, and after two very successful campaigns, he hopes to end his third season on a high note.

Club President Josep Bartomeu said on Enrique’s departure: "We accept Luis Enrique's decision. He has been a great a coach. Now is it time to end his spell in the best possible way".

The search for a new manager will start. Ronald Koeman (Everton), Jorge Sampaoli (Sevilla) and Mauricio Pochettino (Tottenham Hotspur) have been the names speculated the most over the last few weeks. The board is expected to announce the new manager in the near future.
 
Tatizo siyo kikosi kikubwa tatizo mtaiweza pressing ya celta

Maana Barca ya sasa ikicheza na timu inayofanya high pressing wanapata tabu sana mpaka unawaonea huruma ,na celta inaisumbua Barca Mara nyingi sababu ya pressing yao
kuna pressing inatisha duniani kama ya Barca?ni stle tu ya uchezaji tukiamua kwani AT last week amekufa vipi?halafu hamna timu iko flexible kama Barca ,hizo pressing ndio zilimpa ujik Louis Enrique Barca na kumbuka wachezaji ni wale wale
 
Back
Top Bottom