Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmependa sana performance ya Rakitic yuko poa sana siku ya PSG anatakiwa aanzerakitiiiiiic 6-1.dk 86
ngoja niende kucheki majirani.Ushindi mtamu sana goal 6
Kwani uongo?foul kama inapigwa kwenye play station[emoji23]eti Messi hata akikosa anakosa kiufundi sana. Messi out Gomes in.
Hii ingekua poa kwa PSG next weekUshindi mtamu sana goal 6
ngoja niende kucheki majirani.
kakamua bomba sana. siku hiyo utakuwa moto moto. tutamaliza kazi kwenye 45 za kwanza.Nmependa sana performance ya Rakitic yuko poa sana siku ya PSG anatakiwa aanze
Mkuu performance ya viuongo wa leo imechagizwa na formation iliyotumika.. 3-4-3. Kwa maana hyo team leo imejengwa kuanzia katkat kwenda mbele...hil jaribio kwa leo limekua na faida... Swal n je cku ya psg atakubal ku risk kwa kuchezesha bek watatu...?Nmependa sana performance ya Rakitic yuko poa sana siku ya PSG anatakiwa aanze
mechi ya kwanza na palmas mlisare. inaweza tokea na leo.karibu uwaone mabingwa wa dunia![]()
hata juzi na Atletico tulicheza hivyo. hii ni spesho kwaajili ya PSG.Mkuu performance ya viuongo wa leo imechagizwa na formation iliyotumika.. 3-4-3. Kwa maana hyo team leo imejengwa kuanzia katkat kwenda mbele...hil jaribio kwa leo limekua na faida... Swal n je cku ya psg atakubal ku risk kwa kuchezesha bek watatu...?
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
1-1 tayari wameshapewa goal la offside jamaa wanabebwa hadi aibungoja niende kucheki majirani.
Worry not watakaa nothing is impossible at Camp nouHii ingekua poa kwa PSG next week
Kila approach ina football ina strength na weakness zake inategemea na fitness ya wachezaji siku hiyoMkuu performance ya viuongo wa leo imechagizwa na formation iliyotumika.. 3-4-3. Kwa maana hyo team leo imejengwa kuanzia katkat kwenda mbele...hil jaribio kwa leo limekua na faida... Swal n je cku ya psg atakubal ku risk kwa kuchezesha bek watatu...?
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Mkuu itakuwa poa sana hiyoWorry not watakaa nothing is impossible at Camp nou
Ngoja tusubil mkuuKila approach ina football ina strength na weakness zake inategemea na fitness ya wachezaji siku hiyo