FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ngoja niende kucheki majirani.
e5153cdd8c493ebcd445328b4ac3e0b4.jpg
karibu uwaone mabingwa wa dunia
 
Nmependa sana performance ya Rakitic yuko poa sana siku ya PSG anatakiwa aanze
Mkuu performance ya viuongo wa leo imechagizwa na formation iliyotumika.. 3-4-3. Kwa maana hyo team leo imejengwa kuanzia katkat kwenda mbele...hil jaribio kwa leo limekua na faida... Swal n je cku ya psg atakubal ku risk kwa kuchezesha bek watatu...?

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
hata juzi na Atletico tulicheza hivyo. hii ni spesho kwaajili ya PSG.
 
Mkuu performance ya viuongo wa leo imechagizwa na formation iliyotumika.. 3-4-3. Kwa maana hyo team leo imejengwa kuanzia katkat kwenda mbele...hil jaribio kwa leo limekua na faida... Swal n je cku ya psg atakubal ku risk kwa kuchezesha bek watatu...?

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Kila approach ina football ina strength na weakness zake inategemea na fitness ya wachezaji siku hiyo
 
Back
Top Bottom