We don't need him next season... So let him go...we have nothing to looseBREAKING: Luis Enrique just announced that he won't be Barça's coach next season
mna celta vigo n ina bidii mchague mechi gan mfocus nayo ya celta au ya psgWatan bado wana mech ngum sana jmamos...eilber c wa kuwabeza
Huyu coach wetu ameuza wachezaji wazuri na kununua vilaza wengiHalilovic kapiga mpira mwingi. natumaini siku moja atarudi home.
Barcelona tuna kikosi kikubwa sana thats not the problem for usmna celta vigo n ina bidii mchague mechi gan mfocus nayo ya celta au ya psg
Nmependa sana performance ya Rakitic yuko poa sana siku ya PSG anatakiwa aanze
Atazingua sana ,Gomes sio sisi tu hapi Camp Nou hawampendi wanasema hana calibre yakucheza chama la wanakocha alivyo msengerema atamuweka lile pumbavu gomes
Aisee mkuu focus ipo kwa psg...celta anakuja camp nou.. N mech rahis sana kwetu...mech ngum kwa barca n dhid ya deportivo after next saturdaymna celta vigo n ina bidii mchague mechi gan mfocus nayo ya celta au ya psg
Katika home straight-Barca naona ana manage ku force issues-Victory after victory inawafanya mtaa wa pili wa panic lets hope hizi foul anazofanyiwa Neymar azita msideline-tunamuitaji sana Messi and Suarez hawa sina wasiwasi nao they will last the distanceHawa wahuni bila kubebwa kombe tunalibeba.
Ila Madrid siku hizi anabebwa saana kwa kweli.Katika home straight-Barca naona ana manage ku force issues-Victory after victory inawafanya mtaa wa pili wa panic lets hope hizi foul anazofanyiwa Neymar azita msideline-tunamuitaji sana Messi and Suarez hawa sina wasiwasi nao they will last the distance
Tatizo siyo kikosi kikubwa tatizo mtaiweza pressing ya celtaBarcelona tuna kikosi kikubwa sana thats not the problem for us
tukiweka viungo wanne hawawezi furukuta. tutawanywesha sita kama msimu uliopita. tena msimu huu wana defence mbovu sana.Tatizo siyo kikosi kikubwa tatizo mtaiweza pressing ya celta
Maana Barca ya sasa ikicheza na timu inayofanya high pressing wanapata tabu sana mpaka unawaonea huruma ,na celta inaisumbua Barca Mara nyingi sababu ya pressing yao
kuna pressing inatisha duniani kama ya Barca?ni stle tu ya uchezaji tukiamua kwani AT last week amekufa vipi?halafu hamna timu iko flexible kama Barca ,hizo pressing ndio zilimpa ujik Louis Enrique Barca na kumbuka wachezaji ni wale waleTatizo siyo kikosi kikubwa tatizo mtaiweza pressing ya celta
Maana Barca ya sasa ikicheza na timu inayofanya high pressing wanapata tabu sana mpaka unawaonea huruma ,na celta inaisumbua Barca Mara nyingi sababu ya pressing yao
muulize utazungumzia ku press duniani bila kuitaja Barca?kwani tick tack sio pressing?tukiweka viungo wanne hawawezi furukuta. tutawanywesha sita kama msimu uliopita. tena msimu huu wana defence mbovu sana.