FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu, ile Barca ya akina Xavi na Iniesta hata kama tukitolewa mioyo yetu ilikuwa kwatu kwa soka safi linalochezwa.
 
Mkuu, ile Barca ya akina Xavi na Iniesta hata kama tukitolewa mioyo yetu ilikuwa kwatu kwa soka safi linalochezwa.
Barca ya akina xavi utaiona tena

Kama bodi ikichagua kocha imara na endapo huyu wa sociedad akichukuliwa basi Barca ya enzi ya Guardiola inarudi ,sababu huyu ni zao la Barca na falsafa ya Barca anaijua nje ndani na amefanya kazi nzuri sociedad ,kutoka kushika nafasi ya 13 msimu uliopita kipindi cha moyes mpaka nafasi ya 4 msimu huu ..

Au sampaoli watarudisha hadhi ya burudani
 
Hii timu ina wachezaji wa zamani wazuri saana ambao wana elimu ya ukocha.
 
Reactions: GUI
Rafinha ana fit sana halafu my team mbona kama ime improve sana ile pace na harmony yetu naiona leo sana
 
Messi is a beast mbona kama akitaka kufunga lazima afunge huyu kiumbe wa sayari nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…