Ndio maana nimewaomba msamaha kabisamkuu umeiangusha Barca
tuko pamoja mkuu[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Ndio maana nimewaomba msamaha kabisa
watu walijua tunajipa matumaini hewa kumbe Barca yetu tunaijua. waliokuwa wanabisha huwa wanaiona barca UCL tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Here you are !!exactly huu ni ukweli 100% .wakati sisi tunakesha tunaangalia hadi wakati wanacheza na small teamwatu walijua tunajipa matumaini hewa kumbe Barca yetu tunaijua. waliokuwa wanabisha huwa wanaiona barca UCL tu.
Hama sasaPSG akikaa goli sita nahama nchi mimi
tusikilize na hii mkuu cc@Everlenk.[emoji3] [emoji3] tulipotoka ni mbal
Huwezi kulala kwenye hali kama while you're super excited mkuu, ukizingatia ulichokitabiri kimetokea exactly!Silali leo usingizi ume paa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BARCA INAVURUGA WATUMkuu unabeti na apps ipi plz, huwa natumia m bet app but not too good je unayo tumia ipi
Treble...the only team duniani na Spain kiujumla kuchukuaMwaka huu barcelona anachukua makombe 3.
1.la liga
2.Mfalme
3. Uefa
Aisee me si bet wala nini ila nina spiritual connection na Barca cos i love it !!siku PSG wametufunga nilihisi kuondokewa na kitu mwilini mwangu I prayed nikaona after 3 days tutashinda overNielekeze mkuu