Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Nahisi nahitaji ushauri wa kisaikolojia hapo kesho.View attachment 478393
THIS IS NOT PHOTOSHOP
Mimi nakufutia kibali chakuhamishwa nchi ,uaendelea kuishi bongo ili uzidi kuziona neema zetu za BarcelonaNahisi nahitaji ushauri wa kisaikolojia hapo kesho.
Sija kaa sawa kwa sasa.
Karibu Bukavu.
Mkuu hongera i salute you for your fairplayTimu ya ajabu sana hii.
Tumebahatika kuwa kwenye generation inayotazama one of the greatest soccer teams ever!
I salute you Barcelona F.C
Ni mshabiki wa Man utd ila nimeona nije kutoa dukuduku langu tuu.
Hongereni wakuu,your team is out of this world,ukiwa unacheki gemu za Barca,unakuwa na hamu ya kujua nini kitatokea muda mfupi ujao,they are unpredictable.
Wananikumbusha Man utd ya late 90's,timu ambazo ukikutana nazo hata uwe unaongoza 3-0 dk za nyongeza bado wewe shabiki wa timu pinzani ndio unaeteseka kwa presha hadi unajuta.kwanini mnaongoza ha haa!
Hamna mkuu kesho naanza safari yangu ila itabidi nipitie Mbuji Mayi ili niweke mambo sawa kabla sija fika Bukavu penyewe.Mimi nakufutia kibali chakuhamishwa nchi ,uaendelea kuishi bongo ili uzidi kuziona neema zetu za Barcelona
Ila nitakupeleka Zambia kapili Mposhi ukakae siku 3 then nakurudisha bongo au hata kitwe ili vijana wangu uliowasumbua waridhike kidogo
Pole na dua zakoBarca kila la heri ila sioni mkienda mbele ...tunashkuru kwa kushiriki michuano hii tuachieni wanaume madrid
You are welcome Camp Nouhongereni sana, sikutegemea haya matokeo.
hahaha. mkuu tushirikishane fursa ukizikuta huko.Nahisi nahitaji ushauri wa kisaikolojia hapo kesho.
Sija kaa sawa kwa sasa.
Karibu Bukavu.