Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau!
Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau![/QUOTE]
Hahahahahah shauri yako Mkuu...Njemba zitarudi! mpira ukiisha unamtafuta mamsap humuoni lol!
Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia keshohe he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!..
Chakula unaingia mwenyewe jikoni unajipakulia~full sahani yani!.he he...leo chakula utanyimwa akiona hiyo comment yako!!..
Nitakuja Venice au sikaribishwi? lol, BTW sasa ndio tunachinja mazima, kama presha iko low bora zima TV tutakusimulia kesho
Chakula unaingia mwenyewe jikoni unajipakulia~full sahani yani!.
Acha barca waitwe barca tu! yaani unaangalia soka hata waifu unamsahau![/QUOTE]
Hahahahahah shauri yako Mkuu...Njemba zitarudi! mpira ukiisha unamtafuta mamsap humuoni lol!
Dah! yaani wewe unashangilia Iniesta kumbe na njemba inashangilia Fiesta. kimewaka!.