FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu naye! anakaa golini kama gunia!? au ndio uzee unamsumbua!? Ahhhhhh!
 
Duh Messi... mamaezake huyu mtoto...
Barca 2 - 1 Man Utd
 
Mara zote tunazovaa jezi nyeupe tunafungwa tunaruhusu zaidi ya magoli mawili.
 

Hapana mkuu,ni ngumu......Si haki kuwalinganisha Messi na Rooney,ni ngumu sana kulinganisha kipaji na maguvu....

Ni sawa na kuwalinganisha Matt Damon na Steven Kanumba...

Messi size yake ni CR7 a.k.a Cristiano Ronaldo
 
Mara zote tunazovaa jezi nyeupe tunafungwa tunaruhusu zaidi ya magoli mawili.
Umeamua kuvaa jezi ya uswahilini sasa lol unaanza kuleta kisingizio cha jezi nyeupe lol.

sio jezi mkuu game yenu mnacheza kama mlivyo plan. Mkianza kwuashambulia hovyo watawakamata kwenye counter attack nendeni kwa hesabu hivyo hivyo kwa sasa kipindi kibaya hiki mkuu.
 
wacha kabisaaaaaaaaa.......thats a goal to remember........!!! Go Messi!

Bado kuna dakika nyingi lakini na lolote linaweza kutokea kugeuza mwelekeo wa mechi hii.
 
Mara zote tunazovaa jezi nyeupe tunafungwa tunaruhusu zaidi ya magoli mawili.

Pole sana kamanda Sio wewe tu mjeredi huu wa bbarca umewakumba wengi. Tunaachomba game iwe nzuri tu lakini tawkimu za kimmpira zinanyesha 90% wanategeamea barca anategemea kuondoka na kombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…