Alicheza vizuri ule uzito unaanza kupungua siku hiziVipi Gomes wakuu. Alikamua vema?
Option ni pamoja na Verrati ,Dyabala (thou amesaini upya Juv),Griezman (anaweza kuelekea man U) ,Sanchez (upo uwezekano akarudishwa),Metsu Ozil au Isco ila perez aliweka ant Barcelona transfer clauseWangapi mnamfatilia Bernardo silva?
Binafsi nimepoteza muda mwingi sana kufatilia Huyu kiumbe ni Bonge LA Mido
Umri wake ni miaka 22 ila Kazi yake ni miaka 25 amekomaa na Anajua kuucheza mpira vilivyo
Ukimuangalia Bernardo silva huwezi Taman usajili wa coutinho kuja Barcelona isipokuwa mtu Huyu
Griez haji Manchester, na nimeona juve na Bayern wanammendea sanchez pia.Option ni pamoja na Verrati ,Dyabala (thou amesaini upya Juv),Griezman (anaweza kuelekea man U) ,Sanchez (upo uwezekano akarudishwa),Metsu Ozil au Isco ila perez aliweka ant Barcelona transfer clause
I dont know tutaangukia wapi cause wote hao hapo juu probabilities ni ndogo except Verrati ambayo ni Barca Fan damu au Coutinho (prob kubwa)
Usajili wangu bora msimu huu uwe hiviOption ni pamoja na Verrati ,Dyabala (thou amesaini upya Juv),Griezman (anaweza kuelekea man U) ,Sanchez (upo uwezekano akarudishwa),Metsu Ozil au Isco ila perez aliweka ant Barcelona transfer clause
I dont know tutaangukia wapi cause wote hao hapo juu probabilities ni ndogo except Verrati ambayo ni Barca Fan damu au Coutinho (prob kubwa)
Bellerin possibility ni 90% atarudi nyumbani ila tunahitaji mwenye uwezo sawa au kupita Ivan Rakitic na Iniesta au ana potential ya future kuwa hivyo hii itawapunguzia sana mzigo Messi na Neymar nakuleta balance ya ku attack sana na ku defend kama anavyofanya Rakitic now na Iniesta wake ,i think hata Gomes aliletwa kwa lengo hilo sema ni defensive sana na hana ball possession nzuri kitu ambacho ni contrary na Barca na lengo piaUsajili wangu bora msimu huu uwe hivi
Verrati
Bernardo silva
Bellerin
Yerri Mina
Uwepo wa Rakitic kwenye kikosi cha Barcelona umebadili mfumo wa kiuchezaji Pamoja na mbinu za kimchezo kwa sababu Rakitic ni box to box midfielderBellerin possibility ni 90% atarudi nyumbani ila tunahitaji mwenye uwezo sawa au kupita Ivan Rakitic na Iniesta au ana potential ya future kuwa hivyo hii itawapunguzia sana mzigo Messi na Neymar nakuleta balance ya ku attack sana na ku defend kama anavyofanya Rakitic now na Iniesta wake ,i think hata Gomes aliletwa kwa lengo hilo sema ni defensive sana na hana ball possession nzuri kitu ambacho ni contrary na Barca na lengo pia
Yaani aje Midfielder mfungaji anayetisha na mwenye jina
Alijitahidi janaVipi Gomes wakuu. Alikamua vema?
Anachezea timu gani mkuu?Wangapi mnamfatilia Bernardo silva?
Binafsi nimepoteza muda mwingi sana kufatilia Huyu kiumbe ni Bonge LA Mido
Umri wake ni miaka 22 ila Kazi yake ni miaka 25 amekomaa na Anajua kuucheza mpira vilivyo
Ukimuangalia Bernardo silva huwezi Taman usajili wa coutinho kuja Barcelona isipokuwa mtu Huyu
Monaco ya ufaransa ingia YouTube utakuta udambwi dambwi wakeAnachezea timu gani mkuu?
Mkuu tiago namkubali sana, vipi Hugo Silva anachezea timu gani?Uwepo wa Rakitic kwenye kikosi cha Barcelona umebadili mfumo wa kiuchezaji Pamoja na mbinu za kimchezo kwa sababu Rakitic ni box to box midfielder
Tatzo kubwa la Barcelona kwa sasa ni kukosa kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kutawala eneo LA kiungo kwa uwezo mkubwa yaani awe ana keep possession kama ilivyokuwa kwa Xavi.
Kiungo mwenye uwezo huu kwa sasa ni verrati Ndio maana kila ukiangalia interview za Xavi anamtaja sana kwa sababu eneo LA kiungo la Barcelona limemkosa mtu kama yeye
Kitu kingine ni umri na kiwango cha Iniesta hapa panahitaji kiungo kama Bernardo silva au Thiago Alcantara kwa ajili ya kucheza timu Pamoja na kupunguza Kazi kubwa kwa kina Neymar na Messi
Imagine kwenye kiungo tuwe na Busquets, verrati na Bernardo silva japo Unategemea Kuna timu itamiliki mpira kulko sisi
Then kwenye attacking uwe na MSN
Good news nilisahau aisee inawezekana nampa 75% Alcantara Thiago atarudishwa nyumbani we made mistakes so ni muda wa ku reform demage kwa plan za muda mfupi na mrefu !!Uwepo wa Rakitic kwenye kikosi cha Barcelona umebadili mfumo wa kiuchezaji Pamoja na mbinu za kimchezo kwa sababu Rakitic ni box to box midfielder
Tatzo kubwa la Barcelona kwa sasa ni kukosa kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kutawala eneo LA kiungo kwa uwezo mkubwa yaani awe ana keep possession kama ilivyokuwa kwa Xavi.
Kiungo mwenye uwezo huu kwa sasa ni verrati Ndio maana kila ukiangalia interview za Xavi anamtaja sana kwa sababu eneo LA kiungo la Barcelona limemkosa mtu kama yeye
Kitu kingine ni umri na kiwango cha Iniesta hapa panahitaji kiungo kama Bernardo silva au Thiago Alcantara kwa ajili ya kucheza timu Pamoja na kupunguza Kazi kubwa kwa kina Neymar na Messi
Imagine kwenye kiungo tuwe na Busquets, verrati na Bernardo silva japo Unategemea Kuna timu itamiliki mpira kulko sisi
Then kwenye attacking uwe na MSN
Mkuu beki namba mbili tukimpata shida imeisha, Roberto akikaa ktk anakichafua sanaGood news nilisahau aisee inawezekana nampa 75% Alcantara Thiago atarudishwa nyumbani we made mistakes so ni muda wa ku reform demage kwa plan za muda mfupi na mrefu !!
This is the perfect fit for now na nampa 90% atarudishwa huku dogo Dennis Suarez akiletwa na Verrati wawe wanajifunza ufundi kwa mara ya mwisho mwisho kutoka kwa wakongwe.
Ndio maana mimi ni mfuasi wa coacher Unzue (assistant wa Enrique) abakie pale lazima atayafanya yote haya maboresho kidogo sana na nyuma tutavunja kibubu kwa kumchukua beki kutoka EPL mark ma words
Mtu sahihi hapo n Thiago Alcantara.. Huyu dogo mda huu ndo anahitajika sana..., pil n mda Sasa wakutumia la masia...wacheze wakifundishwa na wazee wanao maliza...la sivyo tunaenda kua kama Madrid...Enrique c muumin wa la masia...Uwepo wa Rakitic kwenye kikosi cha Barcelona umebadili mfumo wa kiuchezaji Pamoja na mbinu za kimchezo kwa sababu Rakitic ni box to box midfielder
Tatzo kubwa la Barcelona kwa sasa ni kukosa kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kutawala eneo LA kiungo kwa uwezo mkubwa yaani awe ana keep possession kama ilivyokuwa kwa Xavi.
Kiungo mwenye uwezo huu kwa sasa ni verrati Ndio maana kila ukiangalia interview za Xavi anamtaja sana kwa sababu eneo LA kiungo la Barcelona limemkosa mtu kama yeye
Kitu kingine ni umri na kiwango cha Iniesta hapa panahitaji kiungo kama Bernardo silva au Thiago Alcantara kwa ajili ya kucheza timu Pamoja na kupunguza Kazi kubwa kwa kina Neymar na Messi
Imagine kwenye kiungo tuwe na Busquets, verrati na Bernardo silva japo Unategemea Kuna timu itamiliki mpira kulko sisi
Then kwenye attacking uwe na MSN
Jamaa ni kilaka yaani anafaa kuchezeshwa hadi Right full backWakat Iniesta umr ukiwa umeenda zaid...huku raktic akiwa mzitto zaid...yaan raktic kwenye team yetu anafaa kucheza dimba la chin...
Mkuu tiago akirudi itakuwa vzr sana, pia kama umefatilia madogo wa la masia unaweza kutupa dondo kidogo tuwaangalie!!Mtu sahihi hapo n Thiago Alcantara.. Huyu dogo mda huu ndo anahitajika sana..., pil n mda Sasa wakutumia la masia...wacheze wakifundishwa na wazee wanao maliza...la sivyo tunaenda kua kama Madrid...Enrique c muumin wa la masia...
Enrique haijui la masia.., huyu n madrista pure...angalia jins anavyotumia pesa hovyo...inackitisha sana....Barcelona huu ndo mda wa kuamka... Tunakoelekea n kubaya sana...Thiago, rafha na Sergio Robert wanatakiwa wapewe air time nying...Hawa ndo barca haswaa hapo Kati....Robert akichezeshwa katkat hawaj ku under perform..
Hao wakina verrat cjui Bernardo.., wabak huko huko..hawatatuletea mafanikio yoyote...
Ndo barca kwa sasa n mbovu sana kwenye kuuchezea mpira...n Iniesta na busquet pekee ndo wanao huo uwezo hapo kat lakn busquet akiwa n defensive mild field
Wote hao hawatufaiiii.....ngolo wala luiz sio wazuri kabisaa kwa league yetu hiiMimi naona sio vibaya kwa beki tuvunje kibubu hata Ngolo au David Luiz aje Barca tunaweza tukamfanya hata Macherano awe beki no 2
Mkuu kwa styl ya full bek mascherano is overrated... Umri umemtupa sana...nafkr Alex vidal na digne wanarud....Mimi naona sio vibaya kwa beki tuvunje kibubu hata Ngolo au David Luiz aje Barca tunaweza tukamfanya hata Macherano awe beki no 2
Kabsa mkuu...huyu jamaa ana fit pote pote kabsaJamaa ni kilaka yaani anafaa kuchezeshwa hadi Right full back