Luiz ana ball control na possession,ana attack nabku defend mipira ya juu ,Ngolo ni hardworker tunaweza tukamjenga possession na kupiga cross za pembeni ,kushambulia na kurudi kukabaWote hao hawatufaiiii.....ngolo wala luiz sio wazuri kabisaa kwa league yetu hii
Vidal ni mbovu wa ku defend ila yuko very aggressive kwenye ku attack utaipenda shughuli yake na anapenda sana kushambulia na ni mfungaji mzuri kama Dani AlvesMkuu kwa styl ya full bek mascherano is overrated... Umri umemtupa sana...nafkr Alex vidal na digne wanarud....
Hayo ndio mapungufu yake ndo maana Kuna makocha wa kuwa train......! N mda wakuwatengeneza vizur wachezaj ambao n potential kwenye kikos...Vidal ni mbovu wa ku defend ila yuko very aggressive kwenye ku attack utaipenda shughuli yake na anapenda sana kushambulia na ni mfungaji mzuri kama Dani Alves
Thiago Alcantara ni mzur akicheza nafasi ya Iniesta yaani atumike kuchezesha timu lakini kwa taarifa mbaya ameongeza mkataba na Buyern MunichMtu sahihi hapo n Thiago Alcantara.. Huyu dogo mda huu ndo anahitajika sana..., pil n mda Sasa wakutumia la masia...wacheze wakifundishwa na wazee wanao maliza...la sivyo tunaenda kua kama Madrid...Enrique c muumin wa la masia...
Enrique haijui la masia.., huyu n madrista pure...angalia jins anavyotumia pesa hovyo...inackitisha sana....Barcelona huu ndo mda wa kuamka... Tunakoelekea n kubaya sana...Thiago, rafha na Sergio Robert wanatakiwa wapewe air time nying...Hawa ndo barca haswaa hapo Kati....Robert akichezeshwa katkat hawaj ku under perform..
Hao wakina verrat cjui Bernardo.., wabak huko huko..hawatatuletea mafanikio yoyote...
Ndo barca kwa sasa n mbovu sana kwenye kuuchezea mpira...n Iniesta na busquet pekee ndo wanao huo uwezo hapo kat lakn busquet akiwa n defensive mild field
Madogo wa la masia Hakuna aliekomaa kupewa jukumu Zito uwanjani na akakupa matokeo dhidi ya timu ngumu kama Malaga, Atletico, real Madrid, N. KMkuu tiago akirudi itakuwa vzr sana, pia kama umefatilia madogo wa la masia unaweza kutupa dondo kidogo tuwaangalie!!
Lkn naamini kuwa LA masia kuna watoto wazr sana
Digne ni left backMkuu kwa styl ya full bek mascherano is overrated... Umri umemtupa sana...nafkr Alex vidal na digne wanarud....
Vidal typically ni wingaVidal ni mbovu wa ku defend ila yuko very aggressive kwenye ku attack utaipenda shughuli yake na anapenda sana kushambulia na ni mfungaji mzuri kama Dani Alves
Wapo tena wengi tu...tatzo n Enrique..,Mkuu tiago akirudi itakuwa vzr sana, pia kama umefatilia madogo wa la masia unaweza kutupa dondo kidogo tuwaangalie!!
Lkn naamini kuwa LA masia kuna watoto wazr sana
Madogo wa la masia Hakuna aliekomaa kupewa jukumu Zito uwanjani na akakupa matokeo dhidi ya timu ngumu kama Malaga, Atletico, real Madrid, N. K
Anzia kwa halilovic Lucho kauwa kiwango chake
Sergi Samper ni mzur sana Dogo lakini bado anahitajika mtu WA kumkuza hajakomaa kupewa majukumu kama mtu WA kuaminika
Carles alena Huyu Dogo anaujua mpira vilivyo lakin bado hawezi battle na viungo wahuni kama kina Gabi, koke, verrati n. K
Denis Suarez Huyu Dogo namwelewa sana lakini bado a nahitaji muda Zaid ili kumwamini Zaid pia anacheza vzur Zaid kama RM Kulko LM
Wengine ambao bado wako barca B Nafikil tuwape msimu Mmoja Zaid then Ndio tuwepe promotion kuja timu ya wakubwa
Yuko as Monaco ya ufaransaMkuu tiago namkubali sana, vipi Hugo Silva anachezea timu gani?
Kwel kabsa wapo wengi na wazuri sana lakini bado wanahitaji malezi kama Xavi na Iniesta walivyolelewa kwa ajili ya futureWapo tena wengi tu...tatzo n Enrique..,
1.sergi samper Montana...huyu n bonge la mild field...anakamua Ile mbaya..n holding mild field...anavyo cheza utafkr xavi...ana roho ki lamasia (farm house)
2.
Sasa malez watayapataje kama hawapat mda wa kucheza na kina Iniesta....?Kwel kabsa wapo wengi na wazuri sana lakini bado wanahitaji malezi kama Xavi na Iniesta walivyolelewa kwa ajili ya future
Halilovic hayuko gijon kwa ilikuwa msimu uliopitaMkuu halilovic ndie best player wa sporting gijon wa mwez huu...anakamua Ile mbaya...n bonge la attacking mild field...huyu anatisha sana..Sema ndo tatzo la lucho..kutumia kina gomez wasio kuwa na msaada kabsa kwenye team
Iniesta alikuwa anacheza kila mechi? Xavi je ilikuaje?Sasa malez watayapataje kama hawapat mda wa kucheza na kina Iniesta....?
Naongelea kabla hajaenda hamburger... Yaan nilijaribu kueleza n jins gan lucho c mtu wa barca...team Ina suffocate wakat Ina wachezaj wazurHalilovic hayuko gijon kwa ilikuwa msimu uliopita
Baada ya msimu wa Mwaka 2015/2016 kuisha halilovic alikuwa kwenye kiwango bora kabsa aliuzwa na Lucho kwenda hamburger sv ya ujeruman
Baada yakuuzwa ujeruman msimu huu kiwango chake kilishuka sana kutokana nakutopata nafsi ya kucheza mara kwa Mara hivyo dirisha dogo la usajili mwezi January akapelekwa kwa mkopo las Palmas na sasa yuko huko hadi mwishoni mwa msimu
Anachokifanya Zidane kwa wachezaji wa Madrid castilla sicho Anachokifanya Lucho kwa wachezaji wa la masia mwangalie Munir? Sandro? Grimaldo? Na wengineoHata Iniesta na xavi walilelewa ndan ya uwanja... Sio nje ya uwanja....hapa wanapaswa atleast wachezaj 4 wa lamasia wawe wanacheza...Sasa barca 80% si la masia je unategemea kupata touch yao..?
Hapa Enrique ndo anatupoteza kabsa...nnamuona zizzou ndo mwenye hakir zaid..hata mech tuliyomfunga kama wangeanza castila kama wanne baac tungekaa cku hyo..yaan asensio, Vasquez, isco na morata,, kama wangeanza Ile game tungepata matatzo makubwa sana.....zizzou anaona umhim wa Vijana wao... Kwa nn Enrique hajifunzi....?
Kwel mkuuNilisaha kuna dogo bado analishwa soup akue anaitwa Marlon hii ndio super sub ya Gerard Pique kuna match alichezeshwa december
Ama kweli lamasia generation wako wengi