Madogo wa la masia Hakuna aliekomaa kupewa jukumu Zito uwanjani na akakupa matokeo dhidi ya timu ngumu kama Malaga, Atletico, real Madrid, N. K
Anzia kwa halilovic Lucho kauwa kiwango chake
Sergi Samper ni mzur sana Dogo lakini bado anahitajika mtu WA kumkuza hajakomaa kupewa majukumu kama mtu WA kuaminika
Carles alena Huyu Dogo anaujua mpira vilivyo lakin bado hawezi battle na viungo wahuni kama kina Gabi, koke, verrati n. K
Denis Suarez Huyu Dogo namwelewa sana lakini bado a nahitaji muda Zaid ili kumwamini Zaid pia anacheza vzur Zaid kama RM Kulko LM
Wengine ambao bado wako barca B Nafikil tuwape msimu Mmoja Zaid then Ndio tuwepe promotion kuja timu ya wakubwa