Kama ile mechi ya kwanza na juve. Kamuanzisha Mathieu amkabe Cuadrado! Cuadrado mwenye spidi. Eti alitegemea Mascherano amkabe Chiellini mpira wa kichwa! Ndiyo aliyefanya tuonekane kituko msimu huu. Am glad ameenda.
Madrid wana wazee wengi[emoji23] [emoji23]You dont have guts to do it mkuu ,kwa team gani pale?for me age yenu inaisha so mtasubiri miaka kadhaa kunyanyau laliga tena na UEFA tena
We back on business nxt season [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
Ronaldo 32 ,Benzema 31 ,Sergio Ramos 34 ,Pepe 36 [emoji23][emoji23][emoji23]Madrid wana wazee wengi[emoji23] [emoji23]
Asensio 21
Morata 23
James 24
Casemiro 23
Bale 28
Kroos 28
Marcelo 28
Varane 25
NavasRonaldo 32 ,Benzema 31 ,Sergio Ramos 34 ,Pepe 36 [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu marcelo ni 31 aisee tusitaniane ,Kroos 32,Modric 34 [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ambao umewaacha ndio first eleven yenu they mean and produce alot to the team
Ronaldo 32 ,Benzema 31 ,Sergio Ramos 34 ,Pepe 36 [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu marcelo ni 31 aisee tusitaniane ,Kroos 32,Modric 34 [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ambao umewaacha ndio first eleven yenu they mean and produce alot to the team
Mkuu laliga tena?ndani ya miaka kumi nimechukua mara 7 wewe mara 2 is that competition or dominance?tuseme mengineNavas
Marcelo 29
Carvajal 25
Ramos 31
Varane 24
Danilo 24
Nacho 27
Casemiro 25
Modric 31
Kroos 27
Asensio 21
Morata 24
Bale 27
James 25
Ronaldo 32
Benzema 29
Isco 25
Lucas 25
Mateo 23
Enzo 22
Ukiambiwa Uefa itachukulia hat trick wanamaanisha umri huo [emoji3] [emoji3]
Nina La liga 33Mkuu laliga tena?ndani ya miaka kumi nimechukua mara 7 wewe mara 2 is that competition or dominance?tuseme mengine
Era uliyo dominate hatukuwepo mkuuNina La liga 33
Una La liga 24
Nina Uefa 12
Una Uefa 05
Nani kadominate kingdom hapo mtani?
Haa haaa haaa haya mtani,nilipita mara moja kuwachangamusha huku!Era uliyo dominate hatukuwepo mkuu
Hongera lakini bado jitahidi zaidiHaa haaa haaa haya mtani,nilipita mara moja kuwachangamusha huku!
Note:
Ndani ya misimu 4 iliyopita Madrid kachukua Uefa mara 3(sijui pia kwenye misimu hii hamukuepo)
Ndio Hector Bellerin Anakuja Nou camp na uzuri Valverde anakuja kufanya kitu Tulichokikosa toka astaafu Captain Carles Puyol yaani safu Ngumu ya Ulinzi na unaambiwa Valverde anasifiwa kwa kutengeneza safu Ngumu ya Ulinzinasikia hector anakuja kutoka arsenal.....bado man verrati sasa
Ndio Hector Bellerin Anakuja Nou camp na uzuri Valverde anakuja kufanya kitu Tulichokikosa toka astaafu Captain Carles Puyol yaani safu Ngumu ya Ulinzi na unaambiwa Valverde anasifiwa kwa kutengeneza safu Ngumu ya Ulinzi