innocentcurry
Member
- Nov 2, 2016
- 45
- 46
Mimi ninavyowajua viongozi wa Barca wanaweza mwachia Neymar bila kumpata Verrati au Coutinyo au DyabalaNimeona ka video. Semedo aliamua kujiondokea dogo kataka kumfuata. Mara kavua jezi na kuanza jupiga mpira. Huyu dogo tukibaki naye atatuletea picha mbaya. Naanza kutilia shaka msemo wa nobody is bigger than barca.
Na pengine analazimisha auzwe hela yoyote ambayo PSG watatoa-i smell a rat-yaani Barcelona FC leo tunapelekeshwa.Tuombe mungu MSN inakuwa disbanded strikers wetu wasije kuwa kama BBC.
Yaani hata usiogope huyo dogo hana effect sana ,tena ningekua mimi Bartmeo ningeharakisha sana jamaa wasije wakaghaili bahati haiji mara mbiliNa pengine analazimisha auzwe hela yoyote ambayo PSG watatoa-i smell a rat-yaani Barcelona FC leo tunapelekeshwa.Tuombe mungu MSN inakuwa disbanded strikers wetu wasije kuwa kama BBC.
Blogger mmoja kasema" For any footballer,playing for a club of Barcelona,s stature is a reward in itself,begging him to stay is itself an insult to the club". Yaani Neymar kawavuruga viongozi na wana Barca na sasa anaivuruga dressing roomYaani hata usiogope huyo dogo hana effect sana ,tena ningekua mimi Bartmeo ningeharakisha sana jamaa wasije wakaghaili bahati haiji mara mbili
Statistics za leo:internet poll inaonyesha Neymar anachukiwa kwa 91% kwa sababu kwenye transfer yake hajaiheshimu club
Yani hata hapa bongo tukifanya poll anaangukia pua ,character ni sababu kuu ya kuwa player wa Barca we mtu kama Iniesta utamuambia nini wakati yeye ndio alifunga goal pekee la ushindi Spain ikachukua world cup na Euro lakini they are so humble ,au unamuonaje Messi yuko so humble akina Macherano pia ,kuna mtu alikua mshenzi kama Suarez?lakini sasa hivi anaendana na culture za Barca
Nahisi Neymar analeta taabu hili aondoke kwa amount hiyo-cause mchezaji akitaka kuondoka anaondoke-contracts are worthless piece of papers nowadayshamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
Kina Batromeu wanajaribu kuwatumia viongozi wa La Liga wafanye huo mchezo lakini PSG wana option ya kumsajili Neymar bila kuvunja sheria za FFP.Kama Barca wangeweka release clause kubwa sidhani kama PSG wangejaribu kutaka kumnunua,angalia release clause Perez alizoweka kwenye mikataba ya wachezaji wa Real MadridAnother twist to the saga,La liga wanataka kui report PSG kwa kujaribu kutwist sheria za financial fair play. Wanadai wanafanya hivyo kuulinda mpira Spain cause wanadai leo Barca kesho could be another team.This saga itaivuruga Barca
Mpira ni pesa ,PSG wako tayari kutoa hicho kiasi kwa sababu wana uhakika kuja kwa Neymar atawasaidia kuingiza fedha nyingi na pia kuwashawishi baadhi ya WC players kutoka South America.PSG ina mashabiki wengi sana Brazil kuliko France na sasa wana wachezaji karibia 5 toka Brazil (Lucas,TSilva,Maquinos,D.Alves,Maxwell).Kibaya zaidi hao wamiliki wa PSG ni wadhamini wa Barcelonahamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
PSG fan base yao bado sana tena by a long way-ukiniambia wamiliki wanamwaga pesa bila kutegemea financial returns hapo nitakuelewaMpira ni pesa ,PSG wako tayari kutoa hicho kiasi kwa sababu wana uhakika kuja kwa Neymar atawasaidia kuingiza fedha nyingi na pia kuwashawishi baadhi ya WC players kutoka South America.PSG ina mashabiki wengi sana Brazil kuliko France na sasa wana wachezaji karibia 5 toka Brazil (Lucas,TSilva,Maquinos,D.Alves,Maxwell).Kibaya zaidi hao wamiliki wa PSG ni wadhamini wa Barcelona
Release clouse inasema 222m. Unataka kumvalue neymar na kina pogba. PSG walipe 222m au watupe verrati na 120m tukanunue winger wa kushoto. Hata coutinho atatufaa.hamna timu inayoweza kufanya biashara ya kijinga namna hiyo kumununua neymar kwa pound mil 197 labda apunguze bei auzwe milion 95 au 100
Mkuu tupo wote kwenye hili na mimi nataka watupe hiyo 120 na mzee wa kuingia uvunguni verrati halafu sisi tunaenda kuchukua dybala asiejua kupandisha soksi na coutinho halafu ataona mpira mwingi tunaopinga......Release clouse inasema 222m. Unataka kumvalue neymar na kina pogba. PSG walipe 222m au watupe verrati na 120m tukanunue winger wa kushoto. Hata coutinho atatufaa.
Mkuu kwenye udhamini hapo nadhani umetelezaMpira ni pesa ,PSG wako tayari kutoa hicho kiasi kwa sababu wana uhakika kuja kwa Neymar atawasaidia kuingiza fedha nyingi na pia kuwashawishi baadhi ya WC players kutoka South America.PSG ina mashabiki wengi sana Brazil kuliko France na sasa wana wachezaji karibia 5 toka Brazil (Lucas,TSilva,Maquinos,D.Alves,Maxwell).Kibaya zaidi hao wamiliki wa PSG ni wadhamini wa Barcelona