D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
acha kae benchi wamepita watu wenye mapenzi ya kweli barca kama gaucho,deco na wengine wengi si bora figo alihama barca kwenda madrid sio huyu mpuuzi kwenda league 1 anafikiri huko atapata ballon d'or
Tayari ameshafunga dk ya 2Naisubiri hii mechi live kutoka Miami Florida... Nimemaliza kuwacheki MC vs Totenham naona Tots wamepigwa tatu mtungi... Hope king Messi atafanya kitu
Duh unasema kweli au salt addedForward za Madrid bana hadi sasa hivi Gareth Balle hajagusa mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndo hiyo huko kwenye radio unayosikiliza umemsikia?Duh unasema kweli au salt added