FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tupe source,hivi medical check up inawezekana bila ruhusa ya Barca?????
Neymar to PSG =Done Deal
Barca are pushing hard to replace him with Coutinho.Today Liverpool reject £ 90m from Barca
 
Now please! Neymar goes to PSG for money yes. You already forget he came to Barcelona for money too? The boy admitted in the past that he's a Real Madrid fan... Now he's a first Barcelona player to own Real Madrid jerse. Game ya juzi kaomba jersey ya Ramos na Marcelo, do you know that?
 
You're right,jnr gonna make a U-turn to Santiago after one or two season I'm very sure...
 
katika kocha niliokuwa namkubali ni Sir Alex furgersoni. yeye alikuwa na principle mchezaji hata awe bora namna gani hawezi kuzidi umaarufu wa klabu.Ndio maaana alichkua maamuzi magum kwa Bekham na Rinaldo mara tuuuu walipoanza kuzingua. Barca kukaa inamjadili neymar ni kujishushia heshima ksma klabu kubwa.Apigwe bei huyo akazingue na huko halafu haeshim mkataba wake na barca
 
acha uongo hakuwa madrid fan sema madrid walikaribia kunasa sema sisi wanaume tukawazidi kete na kitendo cha kubadili jezi ni ishara ya kucheza el classico ya mwisho na finally mpira sio chuki kwann asibadilishane nao jezi?
 
Sijawahi kuona mchezaji wa barca anaomba jezi ya real madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama mpira ungekuwa ni chuki yaani el classico madrid fans wasingesimama november 2005 na kumpigia makofi Ronaldinho Gaucho na juzi juzi Andres iniesta so mashabiki msichukulie El classico kama mechi ya chuki bhana
Messi na di maria ni marafiki wakubwa lakini hawakuwahi kubadilishana jezi di maria akiwa real mpaka alipoenda PSG, cassilas ni marafiki sana na xavi na iniesta lakini hawajawahi kubadilishana jezi.kiufupi huwa hawabadilishani jezi.
EPL Liverpool na man u hawatakaa kubadilishana jezi ,never ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uongo hakuwa madrid fan sema madrid walikaribia kunasa sema sisi wanaume tukawazidi kete na kitendo cha kubadili jezi ni ishara ya kucheza el classico ya mwisho na finally mpira sio chuki kwann asibadilishane nao jezi?

Usibishe vitu usivyovijua, way back Neymar kabla ya kuja Ulaya alishasema yeye ni Real Madrid fan. He came to Barcelona for money, ndio maana nashangaa wanaolia kwamba anakwenda PSG for only money.
 
kweli kuna mashabiki mnachukulia mpira kama chuki na nshakwambiaa kubadilishana jezi ni maamuzi na si kama unavofikiri kama ni hivo si Ramos angekataa? kuweni waelewa
 
Usibishe vitu usivyovijua, way back Neymar kabla ya kuja Ulaya alishasema yeye ni Real Madrid fan. He came to Barcelona for money, ndio maana nashangaa wanaolia kwamba anakwenda PSG for only money.
huenda ww ni shabiki wa Madrid maana mna akili mbovu kama mashabiki wa united
 
kweli kuna mashabiki mnachukulia mpira kama chuki na nshakwambiaa kubadilishana jezi ni maamuzi na si kama unavofikiri kama ni hivo si Ramos angekataa? kuweni waelewa

Neymar ndio mchezaji wa kwa wa Barcelona kuweka jezi ya Real Madrid kwenye closet yake. Hii ni fact, acha kulialia
 
HIZI NDIZO REKODI YA MAGOLI NA USHINDI EL CLASSICO
Summary of all matches
Real Madrid wins 97
Draws
59
Barcelona wins
111
Real Madrid goals
437
Barcelona goals
466
Total matches
267
 
Usibishe vitu usivyovijua, way back Neymar kabla ya kuja Ulaya alishasema yeye ni Real Madrid fan. He came to Barcelona for money, ndio maana nashangaa wanaolia kwamba anakwenda PSG for only money.
ushahidi plz acha propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…