PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Hamuongelei kwasababu mnajua ni tukio la kuotea halitokei mara kwa mara. Lakini watu .
No bro! We have a lot to celebrate at the moment, ndio maana hatushangilii chenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuongelei kwasababu mnajua ni tukio la kuotea halitokei mara kwa mara. Lakini watu .
Neymar to PSG =Done DealTupe source,hivi medical check up inawezekana bila ruhusa ya Barca?????
"Neymar must be going to PSG for the money and not the legacy.Barcelona the high priestess of the beautifull game,the envy of the world-a team that set out to pass opponents to death and then stick the knife in for fun. How exactly does one leave this club??" limesema the Sun la UK
You're right,jnr gonna make a U-turn to Santiago after one or two season I'm very sure...Now please! Neymar goes to PSG for money yes. You already forget he came to Barcelona for money too? The boy admitted in the past that he's a Real Madrid fan... Now he's a first Barcelona player to own Real Madrid jerse. Game ya juzi kaomba jersey ya Ramos na Marcelo, do you know that?
Siku hizi timu zinatukazia sana.hawa majogoo wametukazia aisee![]()
acha uongo hakuwa madrid fan sema madrid walikaribia kunasa sema sisi wanaume tukawazidi kete na kitendo cha kubadili jezi ni ishara ya kucheza el classico ya mwisho na finally mpira sio chuki kwann asibadilishane nao jezi?Now please! Neymar goes to PSG for money yes. You already forget he came to Barcelona for money too? The boy admitted in the past that he's a Real Madrid fan... Now he's a first Barcelona player to own Real Madrid jerse. Game ya juzi kaomba jersey ya Ramos na Marcelo, do you know that?
kichizi yani toka kwa kina ceballos, verrati adi coutinho timu hazitaki kutuuziaSiku hizi timu zinatukazia sana.
Sijawahi kuona mchezaji wa barca anaomba jezi ya real madridacha uongo hakuwa madrid fan sema madrid walikaribia kunasa sema sisi wanaume tukawazidi kete na kitendo cha kubadili jezi ni ishara ya kucheza el classico ya mwisho na finally mpira sio chuki kwann asibadilishane nao jezi?
kama mpira ungekuwa ni chuki yaani el classico madrid fans wasingesimama november 2005 na kumpigia makofi Ronaldinho Gaucho na juzi juzi Andres iniesta so mashabiki msichukulie El classico kama mechi ya chuki bhana
Messi na di maria ni marafiki wakubwa lakini hawakuwahi kubadilishana jezi di maria akiwa real mpaka alipoenda PSG, cassilas ni marafiki sana na xavi na iniesta lakini hawajawahi kubadilishana jezi.kiufupi huwa hawabadilishani jezi.kama mpira ungekuwa ni chuki yaani el classico madrid fans wasingesimama november 2005 na kumpigia makofi Ronaldinho Gaucho na juzi juzi Andres iniesta so mashabiki msichukulie El classico kama mechi ya chuki bhana
acha uongo hakuwa madrid fan sema madrid walikaribia kunasa sema sisi wanaume tukawazidi kete na kitendo cha kubadili jezi ni ishara ya kucheza el classico ya mwisho na finally mpira sio chuki kwann asibadilishane nao jezi?
kweli kuna mashabiki mnachukulia mpira kama chuki na nshakwambiaa kubadilishana jezi ni maamuzi na si kama unavofikiri kama ni hivo si Ramos angekataa? kuweni waelewaMessi na di maria ni marafiki wakubwa lakini hawakuwahi kubadilishana jezi di maria akiwa real mpaka alipoenda PSG, cassilas ni marafiki sana na xavi na iniesta lakini hawajawahi kubadilishana jezi.kiufupi huwa hawabadilishani jezi.
EPL Liverpool na man u hawatakaa kubadilishana jezi ,never ever
Sent using Jamii Forums mobile app
huenda ww ni shabiki wa Madrid maana mna akili mbovu kama mashabiki wa unitedUsibishe vitu usivyovijua, way back Neymar kabla ya kuja Ulaya alishasema yeye ni Real Madrid fan. He came to Barcelona for money, ndio maana nashangaa wanaolia kwamba anakwenda PSG for only money.
kweli kuna mashabiki mnachukulia mpira kama chuki na nshakwambiaa kubadilishana jezi ni maamuzi na si kama unavofikiri kama ni hivo si Ramos angekataa? kuweni waelewa
unakumbukaa Messi ashawahi mwomba zidane wabadilishane jezi?Neymar ndio mchezaji wa kwa wa Barcelona kuweka jezi ya Real Madrid kwenye closet yake. Hii ni fact, acha kulialia
ushahidi plz acha propagandaUsibishe vitu usivyovijua, way back Neymar kabla ya kuja Ulaya alishasema yeye ni Real Madrid fan. He came to Barcelona for money, ndio maana nashangaa wanaolia kwamba anakwenda PSG for only money.
upande wa pili wamenuna kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HIZI NDIZO REKODI YA MAGOLI NA USHINDI EL CLASSICO
Summary of all matches
Real Madrid wins 97
Draws 59
Barcelona wins 111
Real Madrid goals 437
Barcelona goals 466
Total matches 267