messi wakati anazichana tim za laligsa neymar slikuwepo? ngoja akapoteee huko
Hii ni kweli kabisa. Pengine ni messi tu ndiyo anamzidi Moneymar kimpira. Ni uongo tukisema hana maana. Sema hasira za kumkosa ndiyo zinafanya watu waponde.Tusiongee kishabiki, Neymer ni best player kwetu na mchango wake tangu atue fc barcelona ni mkubwa, hatuna haja ya kumponda kwa kua kaamua kuondoka jast tumuache aondoke kwa sababu club ina miaka zaidi ya 110 na mataji mengi sana na mchango wa Neymer katika mataji yote inaweza kua 3%, walikuepo wazuri zaidi ya Neymer kama Gaucho aliondoka lakin timu haikuyumba ndivyo mpira ulivyo, hatuwez kumpata kama Neymer ila atapatikana wakutuletea mchango mkubwa sana wa kufikia malengo tunayoyataka. Hatuna sababu ya kumponda Neymer ila tushkur kwa mchango wake kwa seasons 4 alizokaa nasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu nmemponda mm ni shabiki wake namba moja cwez kumlaumu sababu anatafuta pesa namtakia kila la heriWakuu,
Hebu tupunguze jazba. Ni unafki kusema Neymar ni mchezaji wa kawaida.
Neymar is a world class player with a promising future!
If he wishes to go, then we should let him go. Amekua na mchango mkubwa kwenye team yetu.
My only doubt is, je ataweza kufanya yale aliyoyafanya akiwa amezungukwa na messi, Suarez na Iniesta?
Neymar is good, but being around the genius kinds of messi and Iniesta was a plus!
Simuoni Neymar wa kushinda ballondior PSG.
Anaweza kwenda huko au aende hata Madrid, but he'll always be under Messi's shadow as long as Messi is still alive!
Yeye sio wa kwanza. The whole football world is under Messi's shadow!
Fare well
- KANA -

Tukimpata Veratti na Dembele au Dybala, we'll be more than fine!Hakuna sehemu nmemponda mm ni shabiki wake namba moja cwez kumlaumu sababu anatafuta pesa namtakia kila la heri
Namuhitaji veratti na Dembele pekeeTukimpata Veratti na Dembele au Dybala, we'll be more than fine!
- KANA -
Mchezaji kulipa buy out clause ni kawaida katika ligi ya spain,afterol PSG watampa hiyo hela,au atumie yake then PSG watamrudishia ila all in all hicho sio kikwazo.Neymar akiwa na baba yake leo hii wameu face uongozi wa Barcelona akiomba kuondoka View attachment 556269
Uongozi umeomba Neymar alipe buyout clause yote
Picha limeanza rasmi
Umuhimu wa Messi upo wazi dunia nzima inalijua hilo,Lakini pia Neymar alikua na umuhimu wake mkubwa tu,tena sana. Ukicheza na barca cha kwanza lazima uwaze MSN, ile trio ni nightmare kwa mabeki wowote wale.Neymar bado hakua muhimu sana katika team ya Barcelona kama alivyo Messi kuanzia uwanjani hadi respect -macho yetu ni shahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Verratti ???? Upo kwenye njoziNamuhitaji veratti na Dembele pekee