Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Umuhimu wa Neymar definitely tutauona kwa atakae chukua nafasi yake-the player will be under the mother of all spotlights-mimi binafsi nishaanza kumuhurumia huyo replacementNi kweli kwenye biashara Neymar alikuwa brand kubwa sana but kuna hasara kubwa sana amesababisha
1.Usajili wa Neymar kuna udanganyifu mkubwa ulifanyika hata ile fedha aliyosajiliwa ilikuwa sio sahihi ili kukwepa kodi,Sandro Rosell yuko rumande sababu ya huo usajili (Brand ya Barca imeharibika sana)
2.The way Neymar alivyohandle huu uhamisho wake inaonekana kabisa alikuwa na nguvu sana kwenye klabu ukilinganisha na mchango aliokuwa nao uwanjani
3.Neymar uchezaji wake anapenda kuchezea/kukaa na mpira muda mwingi while tiki taka inataka pokea mpira angalia wenzako toa pasi tafuta nafasi upewe pasi na unatakiwa kufanya maamuzi haraka,Messi anaweza akakaa na mpira akapiga chenga na final ball anafunga goli while Neymar yeye ataendelea kupiga chenga kufurahisha jukwaa
Halafu neymar anakuja Madrid after 2yearsDada Neema kaondoka.
Mamdogo Lione anazeeka.
Ini Esther ashakua babu.
Piki ndio babu kabisaaa...
Masikini Baselona, kwishaaaaa
Wabrazil wafurahie kuhamia France league 1?au Neymar Barcelona alikua ananyonywa?ahame tu salama angekua muhimu sana uongozi wa Barcelona wangemng'ang'ania tu lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabrazil wafurahie kuhamia France league 1?au Neymar Barcelona alikua ananyonywa?ahame tu salama angekua muhimu sana uongozi wa Barcelona wangemng'ang'ania tu lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni alternatives za finance mkuu Team kama haitaki kukuuza inaweza ikakupandishia dau ,kama motive yako ni hela kwani Morata hata kama mimi sio fan wa Madrid aliuzwa kwenye release clause aliyowekewa?simply yeye ni striker na striker pale best kabisa ni mmoja hopeful unamjua ,halafu hizo amount team ndio inapanga strategist wa Barca no tofauti na Madrid(mfano mwingine buy out clause ya Ansensio ni kubwa kushinda Messi uache ushabiki how comes? -ni evidence nyingine ya team wise plan za kuandika hizo clause)Huo uongozi ndio umechemka ndio maana Neymar anawapelekesha mpaka sasa,waliweka release € 220m wakidhani hakuna timu inayoweza toa hiyo hela .Release clause ya CR7 ni €1bilion while wao wameweka release clause ya Messi €300m
Kama Messi ni mzee kamuulize Sergio RamosDada Neema kaondoka.
Mamdogo Lione anazeeka.
Ini Esther ashakua babu.
Piki ndio babu kabisaaa...
Masikini Baselona, kwishaaaaa
The idea ya kuweka release clause kubwa ni kwamba klabu inawa-discourage kabisa timu ambazo zitakuwa interested na key players wake, Huko nyuma hiyo hela ilikuwa kubwa but Neymar ameongeza mkataba last season walipaswa kuongeza hiyo amount kwenye clause yakeHizo ni alternatives za finance mkuu Team kama haitaki kukuuza inaweza ikakupandishia dau ,kama motive yako ni hela kwani Morata hata kama mimi sio fan wa Madrid aliuzwa kwenye release clause aliyowekewa?simply yeye ni striker na striker pale best kabisa ni mmoja hopeful unamjua ,halafu hizo amount team ndio inapanga strategist wa Barca no tofauti na Madrid(mfano mwingine buy out clause ya Ansensio ni kubwa kushinda Messi uache ushabiki how comes? -ni evidence nyingine ya team wise plan za kuandika hizo clause)
Moja ya factor ambayo team ina ku hold ni significance yake first team na mikakati ya club (objectives ),Neymar sikatai kabisa he was central of barca's plan na tulishadhani atakua successor wa Neymar ,Brazilians wana mission yao pale PSG but remember huwezi kuwa na plan ndani ya plans za watu ,World cup unaweza kushinda tu hata kama wachezaji wako scattered
I concur with you ina discourage but kama mchezaji akitaka kuondoka ndugu ataondoka tu especially kama hana roots na hiyo team,huyo Messi unayemtaja unakumbuka watu wangapi wamefukuzwa kwa ajili yake?such kind of honours na respect hawez kupata nje ya BarcaThe idea ya kuweka release clause kubwa ni kwamba klabu inawa-discourage kabisa timu ambazo zitakuwa interested na key players wake, Huko nyuma hiyo hela ilikuwa kubwa but Neymar ameongeza mkataba last season walipaswa kuongeza hiyo amount kwenye clause yake
Huwezi kumuuza mchezaji for fees above his release clause kama yeye ndio anataka kuondoka(Case ya Neymar)
Last summer Messi alitaka kuhamia Man City na walikuwa tayari kulipa hiyo €300m some seniors players (Suarez,Pique,Neymar,Iniesta) wakamshawishi abaki akabadili mawazo the same situation imetokea kwa Neymar again wamejaribu wameshindwa kumshawishi.
Morata alikuwa back-up player na alisema anataka kucheza while Neymar ni best player baada ya Messi