FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yaaa laliga wamegoma kupokea hela any way ngoja tuangalie hii movie inavyoendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona jinsi dogo ambavyo ametufanyia Barca?unajua maana yake nini Laliga wanalazimisha PSG wa negotiate na Barca na sio uhuni walioufanya kumbe Neymar alikua hatupendi kiasi hicho?ameshindwa hata kuzikutanisha team(PSG na BARCELONA) yaani mshikaji kaingiziwa mzigo moja kwa moja kwenye account yake avunje contract ni jasiri kweli kweli ,Zlatan Abromovic "ameshamchana tayari kuwa Neymar hawezi kuichukulisha ubingwa wa UEFA PSG amejitahidi sana robo fainali"
 
acheni kulia lia mwacheni neymar asepe na fifa imeingilia kati dogo lazima asepe crylona
 
Mkuu wacha kujifariji neymar ni habar nyengne mmpoteza mchezaji bora wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini Neymar amekua mchezaji wa dunia?amechukua tuzo gani yenye world recognition nitajie nikupe mil 50 sasa hivi?
Neymar kama unampenda ni bora hata angehamia Madrid au angeenda EPL nimeshapiga sana kelele kuhusu hilo league anayoenda kwenye rankings za Ulaya ni sawa na ndondo Cup
 
Sheria za La Liga zinataka kila mchezaji lazima mkataba wake uwe na release clause
 
Barcelona Fans stay tuned kabla ya jumamos next week tunadondosha Bomb.......
Habari hizi sio za speculations kati ya majina ambayo kwenye uzi wetu humu watu wameyataja sana......utalisikia na watam present siku ya Spanish Cup 13/8

Kitu cha Fire.......nilikua namataka sana huyu dogo sitamsema leo
Wazee target ya mwaka bado ni [HASHTAG]#Treble[/HASHTAG]
ForcaBarca
 
mkuu ni PM basi ili nimjue
 
Mtu sahihi kwangu ninaye muona anaweza kuziba nasafi ya bwana mdogo neymar ni Eden hazard.

Neymar kawabadilishia upepo sana Barcelona ukizingatia ligi ndio hiyo hapo mlangoni.
 
La liga wanazingua,wanamuweka Barca in a lose lose situation-sasa wanapinga kupokea hela ili Neymar arudi Barca??? Barca should take the money and plan ahead-hizi sagaz are doing our heads in
jackline1 wanachokifanya Laliga ni sawa kwa sababu wanatetea team zao za Spain soma hapa chini utanielea
1.Hadi sasa hivi hamna official negotiation ya contract ya Neymar kati ya Barca na PSG (imagine Neymar alivyotudharau supporters wake au sijui kama tumemfanyia kitu gani kibaya)

2. Neymar £222M ameingiziwa kwenye account yake na mwanasheria wake pamoja na kodi jumla ya £300 ili avunje contract yake na Barca aende kama free player PSG (hii maana yake PSG hawafungamani na Barca katika terms za makubaliano kwa aina yoyote ile hata zile options zakuwaingiza some playerz in exchange tupunguze demage walizofanya PSG hamna )

3.Laliga lengo lao PSG na Barca ndio wa negotiate i.e wakae meza moja -hii ina maana kubwa sana ndio maana hadi sasa hivi wanasema hawajui hela zimetoka wapi

Kumbuka duniani kuna changamoto za vilabu ambavyo vinapewa support na state na suala la money laundering
In short hela ya Neymar imetoka serikali ya Qatar, PSG kwenye financial statements zao hawana huo msuli
 
Usitufanyie hivyo kiongozi, mtaje tu
 
Usitufanyie hivyo kiongozi, mtaje tu
Tatizo kuna speculation nyingi sana lakini mambo yameshaiva kuna signings za big players wawili kbla ya ijumaa next week na kabla mwezi haujaisha tuna drop big name lingine Fireeeee
 
Barca fans mmeshikwa balls mnatapatapa kinoma,nachoweza kuwaambia tu ni kuwa mpaka imefikia hapa ni sawa na kuku katiwa kisu tayari damu zinamwagika anatapatapa.

Yani lazima asepe oneni huyu chizi wa FA ya Spain anavyotapatapa.

Wao walipowataka wachezaji wa timu pinzani waliwaforce watishie kuvunja mikataba,nakumbuka Henry,Helb na boya Fabregas walivyotufanyia.

Kumbe wahenga wanawakuta mpaka wazungu, Muosha huoshwa pia.....

 
Maelezo marefu ya kishoga shoga
 
Ni laliga mkuu usichanganye habari sisi tunaitaka hela tufanye yetu
hap la liga nao watulie kwani hadi hizo process zote neymar anazifanya hakujua la liga itahusika kiufupi hamna sheria inasema watashirikishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…