Barca wanaweweseka,walipokuwa wanawataka kina fabregas,Henry now Courtinho walijiita Barca is more than a club,na haya maujinga ya kuweka release clause uangaliaji wangu wa Mpira zaidi ya miongo miwili nimekuwa nausikia sana kwenye mikataba ya kijinga ya Spain hasa Barca na Madrid na wamekuwa wakifanya hivyo kwa kuwatisha vilabu vingine,sasa this time wameingia choo cha kike wamekutana na bomba LA mafuta kama LA Hoima jamaa wanatoa pesa tu sasa barca wamedata.
Wanajaribu kutumia uhusiano wao wa kibaguzi wa waspain FA, ilihali uefa imesema FA haiwezi zuia kwasababu barca hawaja toa malalamiko rasmi.
Pia PSG wametumia umafia sio wa dunia hii kumbeba Neymar.
Na wamewakomesha sasa barca imekuwa timu ya kulia lia na sio tena waliokuwa wanajiita Mo than a club kwani kuna Dollar sign imewanyong'onyesha.