FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aisee mkuu rekebisha hapo juu hata kama mimi sio fan wa Madrid Neymar hauwezi kumfananisha na CR7 ,Angekua na sifa hizo tusingemuachia tungemuongezea dau ,hata namba ya tuzo zao na statistics zao zinakupa picha halisi
 
Ha ha ila nimependa mwisho EPL hata nyinyi tumewapa favor yule Sanchez mbona mlimchukua kwa fedha ya madafu tu

But now katika speculations zetu hawa hapa tuna wa screen

Coutinho,Hazard,Alex Sanchez (back) na Metsu Ozil
 
Leo unayasema hayo maneno kwakua anahama?
Real Madrid wamemkosa morata,lakini morata ana replacement kibao sokoni ,ila neymar nje ya barca in ronaldo pekee anayeweza kuwa perfect replacement.acheni kujifriji kwamba mnaweza kufanya replacement Kwa neymar

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ha ha ukiwa Madrid always ni Madrid cheki hii picha David Bekham jinsi alivyo like

Lakini nakumbuka wakati Robinho anatoka Spain kwenye jiji la Manchester alimsihi kuwa jiji la Manchester anaijua team moja tu ya Man U na sio Man city

Ukitoka club kubwa kama Barcelona unapiga backwards movement hela itakufariji siku mbili tatu
 
Real Madrid wamemkosa morata,lakini morata ana replacement kibao sokoni ,ila neymar nje ya barca in ronaldo pekee anayeweza kuwa perfect replacement.acheni kujifriji kwamba mnaweza kufanya replacement Kwa neymar

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ndio wenye team na tunijua team yetu Neymar ana replacement kibao nilisema hata kabla hajaondoka mkuu nakushangaa leo hii Neymar unam crown kama third player naada ya Messi na CR7 au kwa sababu anaondoka?we unasahau league ya Balle kuwa Madrid ndo wanaamini ni third player after Messi na ?Ronaldo au ni ile design nyoka mwenye pande mbili nashangaa sijui umesahau nikukumbushe kuwa Bol On Dors za mwaka jana Neymar hakuwepo hata list ya wachezaji 10 bora?

Hivi Barca ya 5-0 Madrid Neymar alikuwepo ,kwa walioanza kupenda mpira zamani tulisikitika siku Xavi anaagwa na tutalia sana siku Iniesta na Messi au Basquets wakiondoka Barcelona

Over
 
tatizo messi ameshazeeka kiwango chake kinaelekea ukingoni Neymar ndio alikuwa mrithi wake ndio huyooo ametimka hahahahaha
 
CR7 hawezi mzidi Neymar kiwango.
 
CR7 namaanisha Christian Ronaldo inawezekana hatujaelewana,itakua vema ukizijua records zao kwanza ndio urudi na hoja zako.
Records zinaweza kukumislead. Angalia mpira uwanjani. Magoli siyo kila kitu, mchezaji mzuri akicheza position isiyo ya kufunga/kufunga sana kwenye records ataonekana wa kawaida. Na mbovu kama Robaldo au Lukaku wakikaa kwenye position ya kufunga kwenye records huonekana moto.
 

Duh......[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu Neymar anamzidi CR7 kiwango maana una zaidi ya mahaba.
 
Hii ndio video ambaye mchezaji wetu kipenzi Neymat Jr kabla ya terehe 01-08 ,baada yakukataliwa kupewa platform ya kuaga na Barcelona ametuaga nayo sio vibaya he was our loved player ,hajaisema vibaya barca Gudluck kwenye league 1 ,be strong pal zifuate hizo new challenges huku unapiga mkwanja ila kumbuka God wa Catalonia ni Messi kivuli chake kiko dunia nzima

 
Neymar hawezi kuja madrid kabla mkataba wake haujaisha maana pale psg hamna release clause kama spain kwa hiyo raisi wa psg anawapelekesha kama anavotaka baada ya kusaini mikataba mpaka yeye aidhinishe sio vinginevyo na kwa hivo neymar hawezi kuwachezea kamchezo kama aliowachezea barca kwa kuvunja mkataba kihuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo messi ameshazeeka kiwango chake kinaelekea ukingoni Neymar ndio alikuwa mrithi wake ndio huyooo ametimka hahahahaha
CR7 ndo atazeeka mapema kabla ya Messi maana wametofautiana age almost 2 years 30/32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…