mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Aisee mkuu rekebisha hapo juu hata kama mimi sio fan wa Madrid Neymar hauwezi kumfananisha na CR7 ,Angekua na sifa hizo tusingemuachia tungemuongezea dau ,hata namba ya tuzo zao na statistics zao zinakupa picha halisikarma is b!tch
licha ya kuipenda barcelona
ila naipenda zaidi Arsenal yangu
ndio maana kila msimu nitanunua Jersey ya timu yangu
ila Barcelona mliigeuza academy mkawa mnatuchukulia key players tangu gio hadi tom
ule ulioniumiza ni wa cesc japo chogo aliondoka ila sababu zilieleweka
round hii mjue machungu maana mnamnyatia bellerin ila mmempoteza Neymar
mbaya zaidi kanunua mkataba
Neymar hamuwezi messi
ila ronaldo hamuwezi neymar
baada ya figo anafuata neymar kwa kuchukiwa barcelona
ila tambua usajili wa neymar utaziumiza baadhi ya timu zetu pendwa epl