yeah nasikia huu ni usajili special wa Velverde katika jitihada zakuziba matundu kule nyuma -ame requestTunakaribia kumsajili beki wa kati Inigo Martinez toka Real Socedad katika harakati za kuijenga fc barcelona mpya maana kiukweli Gerad Pique tayar alishakua uchochoro
Sent using Jamii Forums mobile app
kati ya hawa hapa Coutihno, dembele/dybala/mbape/Eden Hazard si unajua tuna mpunga wa kutosha kutoka Qatar state?🙂Hakuna Tena MSN Neymar ndo hivyo kashaenda PSG wadau utabiri wenu ukoje nani na nani watasajiliwa
Dembele lazima aje. BVB wameshakubali ila wanataka £100m, na Barca tayari wapo Ujerumani kufanya negotiations. Michael Jean Ser wa Nice pia tunamnyatia, hope tunaweza kumnasa vilevile. Pesa ipo kwa sasa yoyote tunaemtaka tutamchukua.kati ya hawa hapa Coutihno, dembele/dybala/mbape/Eden Hazard si unajua tuna mpunga wa kutosha kutoka Qatar state?🙂
Dembele bado mdogo tunamuhitaji na CoutinhoDembele lazima aje. BVB wameshakubali ila wanataka £100m, na Barca tayari wapo Ujerumani kufanya negotiations. Michael Jean Ser wa Nice pia tunamnyatia, hope tunaweza kumnasa vilevile. Pesa ipo kwa sasa yoyote tunaemtaka tutamchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, ana miaka 20 tu kwa sasa.Dembele bado mdogo tunamuhitaji na Coutinho
Mara ya mwisho nyie kutufunga ni Lin?
yeah but mhh sijui kama liver watakubali kumuachia courtinhokati ya hawa hapa Coutihno, dembele/dybala/mbape/Eden Hazard si unajua tuna mpunga wa kutosha kutoka Qatar state?🙂
messi tu ndio mchezaji mzuri kuzidi neymar,huyo ronaldo kinachomsaidia ni kufunga kitu ambacho hata suarez anawezaWachezaji wazuri kuliko neymar ni Ronaldo na messi tu,sasa huyo mchezaji fire ndio nani
Sent using Jamii Forums mobile app