FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tunakaribia kumsajili beki wa kati Inigo Martinez toka Real Socedad katika harakati za kuijenga fc barcelona mpya maana kiukweli Gerad Pique tayar alishakua uchochoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Tena MSN Neymar ndo hivyo kashaenda PSG wadau utabiri wenu ukoje nani na nani watasajiliwa
 
Tunakaribia kumsajili beki wa kati Inigo Martinez toka Real Socedad katika harakati za kuijenga fc barcelona mpya maana kiukweli Gerad Pique tayar alishakua uchochoro

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah nasikia huu ni usajili special wa Velverde katika jitihada zakuziba matundu kule nyuma -ame request
 
kati ya hawa hapa Coutihno, dembele/dybala/mbape/Eden Hazard si unajua tuna mpunga wa kutosha kutoka Qatar state?🙂
Dembele lazima aje. BVB wameshakubali ila wanataka £100m, na Barca tayari wapo Ujerumani kufanya negotiations. Michael Jean Ser wa Nice pia tunamnyatia, hope tunaweza kumnasa vilevile. Pesa ipo kwa sasa yoyote tunaemtaka tutamchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
d47339d7f9842f3437c5f11e02403c69.jpg
"However, he admitted that if a club pays the 32 million euros release clause and the player wants to go, there is nothing the club can do".

"Barça have already spoken with the player and an agreement is in place. The club are going to pay the release clause as they realise there's no chance of negotiating with La Real".

Ni Beki wa kati huyo. Muda wowote tunalipa release clause kiasi cha €32 million. Yuko vizuri, ni center back kutoka Real Sociedad...





Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo chamuhmu wakuzba pengo la neymar ni hazard kuliko kumchukua mguu wa kushoto, alafu hazard anatokea kushoto,Coutinho anakuwa namba ya Iniesta
 
Jamani na upload picha tu nadhani mnajua namaanisha nini
Are you ready for MSP...............

Screenshot_2017-08-04-19-56-34-1.png

Deal closed ,next signing kabla mwezi haujaisha
 
98% loading tayari + 2% siku ya introduction Joan Gamper Cup na Champecoense kombe la charity (watachangiwa familia ya wachezaji waliokafariki na ndege last year Brazil) match day tarehe 7/8/2017
Screenshot_2017-08-04-20-08-34-1.png

Picha talks alot tutaongea lugha ya ishara tu
 
Signing nyingine itatoka Juventus au Dortmund kaeni mkao wa kula -second signing baada ya Coutinho
Screenshot_2017-08-04-19-55-56-1.png
 
Dembele keshakubaliana personal terms na barcelona, dotmond wanata £ milioni 90, pia barcelona wapo mbion kutoa offer ya £ milioni 108 kwa ajili ya kumnyakua cottinho nadhan hizi deals zikikamilika tutakua tumepata wachezaji 2 ambao world class kwa kumuuza Neymer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom