FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

huyu tayari hadi amangement yao ameshawa inform ,nasikia velverde hajapendezwa na pale katikati watu hua wanapita sana so anapatafutia muarobaini wa substitute
 
Mkuu mwekundu nakubali sana huyu mzee wa mask ngoja tulete ya coutinho yule bishoo wa kwa mtogole atakuwa analike picha za wanaume wa shoka itakuwa hatari sana
Sources mbalimbali zinasema Barca wame hold usajili wa Dembele ili washughulike na wa Dyabala ambao tutamchukua kwa hela pungufu kwa sababu wao deal lao wanataka tumu include player mmoja kati ya Andres Gomes au Rafinha wanawahitaji so tutafanya exchange with some money
 
Hatutaki negative energy humu ndani Barca ni chama kubwa ,isitoshe tumepata mkwanja,mzigo wa nguvu , mnene tunashindwaje kwa mfano ....
Wale cules wa ukweli njooni huku hawa ndio legends wa Barca
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…