FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Duuh,nimewatazama PSG,mechi yao leo ya league-yaani sielewi kabisa walitufunga vipi ile first leg.League ya France leaves a lot to ponder.
Una moyo me league pori hua siangalii
Kwani unadhani Neymar alikoelekea amepotea tulionekana tuna wivu
Kule atapiga hata dribbles 2000 kwa mwaka na hata top 10 ya players bora duniani hatutamuona

Ooh Gudluck huko aliko
 
Duuh,nimewatazama PSG,mechi yao leo ya league-yaani sielewi kabisa walitufunga vipi ile first leg.League ya France leaves a lot to ponder.
Lucho ndiye aliyetukosesha league na champions league kwa kupanga wachezaji wake anaojua yeye. Zipo taarifa za chini ya capert kuwa ilifikia kipindi Messi alipiga mkwara kuwa gomes asipangwe kwenye mechi

Imagine mechi ya psg second leg team ilicheza kufa kupona, tukashinda, mechi iliyofuata ya Juve akapanga tena wazembe wenzake

Ila nilisema kabisa mwanzo wa msimu kuwa kama tukipata hata kombe moja tushukuru maana kocha alishaonekana kukosa ku-motivate Team toka mwanzo, kuna kipindi ulikuwa unaona hadi kocha msaidizi alikuwa akimfuata na kuongea naye ,tena mara nyingi wakati mechi ikiendelea
 
baada ya mda mwingi nimerudu humu natoa salam kwa wana barca woote nasema hivi musiwasikilize anti barca barcelona ni kubwa kuliko neymar kata mti panda mti tilia maji utakua mkubwa na utatoa matunda
 
barcelona haimtegemei mchezaji fulani namuonea huruma huyu neymar siku psg itakapotua katika dimba la camp nou
 
Reactions: PNC
hii board mbona inachelewesha mambo huyo dembele wasitishe kwanza mazungumzo 90 nyingi sana.....wafocus kwa dyabalamask na little magician coutinho wote waje kwa pamoja
 
daaaahhh paulinho utakuwa kama usajili wa Andres Gomes.Kitu ki1 ambacho barca hawakielewi usajili wa nguvu utaua vipaji vyote vya Lamasia. Seergio Roberto, Denis suarez, Callejon wanatakiwa wapewe nafasi ili kukuza na kuonyesha makali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…