FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

board wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
Huyu nadhani ana release clause,ikilipwa there is nothing that can be done
 
Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana
 
Dembele yupo vizuri lakini huoni Paulo Bruno dybala yupo vizuri zaidi.
 
Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana
Katika mazingira ya kitanzania..nyinyi wadada zetu wapenda soka katika safari yenu ya kwanza yakutazama kandanda hasa hizi za uropa hamukupata changamoto kweli...?
 
Mimi binafsi nikiwa Tanzania mpira sikuujua kabisa,nikiwa Spain mpira nikaujua
 
Ahaa! Kwa hiyo Mpira umeanza kuutazama ukiwa katika Taifa hispania...?

Mimi maeneno ninayoisha ni nadra kukuta wanawake/dadazetu katika kumbi za Mpira.

Mwaka 2007 nakumbuka tulikuwa na jirani yetu mwanamama alikuwa akitazama soka..wanaume walikuwa wakimshangaa ukumbuni.
 
Nimesoma kuwa Man U wanamtaka Roberto kwa euro 40m. Roho itaniuma sana. Usajili wetu msimu huu unaweza kukutia mtu kichaa.
Ni Man city nadhani wame directiwa na Goudiola lakini wameambia the player is not for sale
Watatuua hawa watu kwa pressure[emoji23][emoji23]
 
board wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
Yule dogo ni m catolonia full misimamo hadi chelsea wamechemsha hivi last month
 
We unajua mpira
Noted ,shemeji ana enjoy
 
Huyu nadhani ana release clause,ikilipwa there is nothing that can be done
League ya Spain (laliga) kila player anawekewa release clause ,sema player kama anaipenda na ameridhika na team anayocheza hawezi kuvunja contract kwa mokono yake mwenyewe

Naona wenzetu wa upande wa pili financial techniques zao wanaweka release clause kubwa kwa mfano CR7 amewekewa $1bn kama release clause
 
Official line up Match ni saa tatu na nusu usiku leo zimebakia dakika 40 tu
Match ya leo sio ya ushindani sana ila nataka niendelee tu kumsoma velverde ameongeza kitu gani kwenye kikosi
 
Deolouf ataziba pengo la Neymar kwa siku ya leo,nadhani Sergio Roberto na Semedo wataingia kama substitution baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…