FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Yaani kwamba hivi, Paco ni jipu na wangemuuza tu. Jamaa huwa yupo yupo tu, sometimes unaweza ukafikiri huwa anajifanyisha kutokufunga mabao...Ila Paco anamatatizo gani? Kwenye mechi hafungi kwa ukawaida. Hadi penalty anakosa kiuzembe. Amekuwa mzigo mkubwa. Amepiga penati kama mchezaji wa RM😉🙂🙂
Sent using Jamii Forums mobile app