mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Seri nasikia anapatikana hadi kwa 30M ,huyu niggarifikie kipindi barca waaachane nae nafasi yake inaweza kuchukuliwa na Michael Jean Serri. tukimpata mpata dembele toshaaaa kabisa. Calles allena ataendelea kupata uzoefu na ndo iniesta wetu ajae. Paco, Gomes, Vamaleen,Munir elhadad wamedhauzwa?