FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-08-09-23-09-10-1.png
 
Mkuu mwekundu usajili wa Coutinho bado haujakamilika na kuna uwezekano Liva wakachomoa.
Labda Pesa iwe ndefu
 
To be honest issues za Dembele na Coutinho zinazidi kuwa complicated
Tatizo team nyingi zinajua tuna fedha ndefu
Kwa mfano Dembele ni wa kununuliwa €150M?kama sio uchizi nini bora dadake tutulie tu na hela zetu ,hata huyo Coutinho from €45M to 120????
Maamuzi magumu yanahitajika
 
To be honest issues za Dembele na Coutinho zinazidi kuwa complicated
Tatizo team nyingi zinajua tuna fedha ndefu
Kwa mfano Dembele ni wa kununuliwa €150M?kama sio uchizi nini bora dadake tutulie tu na hela zetu ,hata huyo Coutinho from €45M to 120????
Maamuzi magumu yanahitajika
Mkuu. Hapa ndo bora unaona n bora tucsajili..... Kama dembele amefikia huko bac tuache tu... N mda wa kutumia vijana wetu... Hata hivyo tatzo letu c mbadala wa neymar bal mbadala wa iniesta na xavi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila uongozi w Barca very slow! Wikendi iliyopita walisema mpaka kufikia j5 wiki hii watakuwa wamekamilisha usajili wa Coutihno (120M) na Martinez (32M)...lakini cha kushangaza kwenye app yao (Barcelona Live) wamepost picha za wachezaji (Coutihno, Dembele, Seri na Martinez) wakisema "Barcelona won't spend crazy".... Sema ukweli wamenikata steam balaaaa

"Life+time"
388e112a0ba6e98307bf739b3ca0ed40.jpg


Ila uongozi w Barca very slow! Wikendi iliyopita walisema mpaka kufikia j5 wiki hii watakuwa wamekamilisha usajili wa Coutihno (120M) na Martinez (32M)...lakini cha kushangaza kwenye app yao (Barcelona Live) wamepost picha za wachezaji (Coutihno,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na uongoz.... Wachezaj wa kawaida sana hao... 100% wavunje kabat kwa thiago alcantara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barcelona kuna wachezaji wengi ambao wanatakiwa kuuzwa
......Andre Gomez
......Sergi Samper
......Thomas Vermaleni
.......Arda turani
.......Paco Alcer

kwa mtizimo wangu watu wakusajili ni hawa hapa
.......paulo Dybala
.......philipe coutinho
.......Eden Hazard

Watu wa kupewa nafasi katka timu

Carles Alena dogo yuko vizuri anaweza kuwa mbadala wa Ineasta

Muniri nahci yupo vzur ukilinganisha na Paco Alcer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuanzia huyo dyabala , cout, na hazard wala hatuna pa kuwaweka... Hakuna mkabaj wala ball dancer hata mmoja hapo... Wote n wana riadha... Tunataka replacement ya iniesta na xav hata kama tukikosa bac atleast dembele ana uwezo wa ku offer ukabaj kuliko hao mizgo wengne... Uongoz unatakiwa ukae chin utathmn kilichotu cost last seasonal... Tatzo kubwa n mildfield na full back.. So kama wamempata fullback na mda sasa wa sergio robert kurud shimon na atafutiwe mjanja mwingne alcantara ama dembele or dyabala... Not coutinho aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
board ya barca kuna tatizo sergio robert ni mzuri sana kwenye midfielder mechi zote za msimu uliopita za Elclassico alionyesha uwezo wake kumwacha aondoke kwa pesa kiduchu ni dharau na watakuwa hawajamtendea haki. Spectulation zimekuwa nyingi mpaka kelo uza gomes, varmeleeen, munir elhadad, Paco alcacer na toa kwa mkopo Denis Suarezi ili apate
uzoefu wa kutosha
Ww dada mpira unaijua aisee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Neymar anatunafikia kwa Coutinho, huyu dogo aondoke vizuri Barca hata kama anatuchukia sio kwa style hiyo tunajua na tunauheshimu urafiki wake na Coutinho, nasikia ame propose kwa management ya PSG dogo anunuliwe so liverpool wanam reserve ili wapate fedha ndefu zaidi
 
Jamani Neymar anatunafikia kwa Coutinho, huyu dogo aondoke vizuri Barca hata kama anatuchukia sio kwa style hiyo tunajua na tunauheshimu urafiki wake na Coutinho, nasikia ame propose kwa management ya PSG dogo anunuliwe so liverpool wanam reserve ili wapate fedha ndefu zaidi
ifikie kipindi barca waaachane nae nafasi yake inaweza kuchukuliwa na Michael Jean Serri. tukimpata mpata dembele toshaaaa kabisa. Calles allena ataendelea kupata uzoefu na ndo iniesta wetu ajae. Paco, Gomes, Vamaleen,Munir elhadad wamedhauzwa?
 
Back
Top Bottom