jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Huyu nadhani ana release clause,ikilipwa there is nothing that can be doneboard wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nadhani ana release clause,ikilipwa there is nothing that can be doneboard wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
sasa Mkuu kama countinho atapatikana huyo dembele wa nini tena,dembele alikuwa anatakiwa nafasi ya inesta.dybala ni nafasi ya neymarAisee mkuu huyu dembele n habar nyingne kabsa.... N fund kwel kwel... Ana vitu ving vya ku offer kuliko dybala
Sent using Jamii Forums mobile app
Dembele yupo vizuri lakini huoni Paulo Bruno dybala yupo vizuri zaidi.Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana
Hz release clause za barca sometimes wawe wanaweka madau ya kuogopesha mm nadhan release clause ya neymar barca ingekuwa ya €1billions.wasingetia puaHuyu nadhani ana release clause,ikilipwa there is nothing that can be done
Katika mazingira ya kitanzania..nyinyi wadada zetu wapenda soka katika safari yenu ya kwanza yakutazama kandanda hasa hizi za uropa hamukupata changamoto kweli...?Nilikuwa napitia you tube daaahhhh dembele ni mzuri kuliko coutinho. ni mtazamo wangu halafu game leo saaa ngapi? channel gani wanaonyesha? tukimpata dembele itakuwa goood sana
Mimi binafsi nikiwa Tanzania mpira sikuujua kabisa,nikiwa Spain mpira nikaujuaKatika mazingira ya kitanzania..nyinyi wadada zetu wapenda soka katika safari yenu ya kwanza yakutazama kandanda hasa hizi za uropa hamukupata changamoto kweli...?
Ahaa! Kwa hiyo Mpira umeanza kuutazama ukiwa katika Taifa hispania...?Mimi binafsi nikiwa Tanzania mpira sikuujua kabisa,nikiwa Spain mpira nikaujua
Ni Man city nadhani wame directiwa na Goudiola lakini wameambia the player is not for saleNimesoma kuwa Man U wanamtaka Roberto kwa euro 40m. Roho itaniuma sana. Usajili wetu msimu huu unaweza kukutia mtu kichaa.
Ha ha pole apply cold water kwenye kidonda cha motoWe jamaa ni mnaa eti umetaja na nafasi ya Ronaldo mbona hujataja na nafasi ya zidane maana nae alikipiga la liga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dogo ni m catolonia full misimamo hadi chelsea wamechemsha hivi last monthboard wakifanya usengerema kumuacha dogo aondoke nitakasirika sana....huyu akiondoka ndio ataniumiza sio yule bishoo
We unajua mpiraboard ya barca kuna tatizo sergio robert ni mzuri sana kwenye midfielder mechi zote za msimu uliopita za Elclassico alionyesha uwezo wake kumwacha aondoke kwa pesa kiduchu ni dharau na watakuwa hawajamtendea haki. Spectulation zimekuwa nyingi mpaka kelo uza gomes, varmeleeen, munir elhadad, Paco alcacer na toa kwa mkopo Denis Suarezi ili apate
uzoefu wa kutosha
League ya Spain (laliga) kila player anawekewa release clause ,sema player kama anaipenda na ameridhika na team anayocheza hawezi kuvunja contract kwa mokono yake mwenyeweHuyu nadhani ana release clause,ikilipwa there is nothing that can be done
Nakubaliana nawewe asilimia zote asee! Highlights zake ni ushahidi tosha.Aisee mkuu huyu dembele n habar nyingne kabsa.... N fund kwel kwel... Ana vitu ving vya ku offer kuliko dybala
Sent using Jamii Forums mobile app