FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ila Paco anamatatizo gani? Kwenye mechi hafungi kwa ukawaida. Hadi penalty anakosa kiuzembe. Amekuwa mzigo mkubwa. Amepiga penati kama mchezaji wa RM😉🙂🙂
Yaani kwamba hivi, Paco ni jipu na wangemuuza tu. Jamaa huwa yupo yupo tu, sometimes unaweza ukafikiri huwa anajifanyisha kutokufunga mabao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila uongozi w Barca very slow! Wikendi iliyopita walisema mpaka kufikia j5 wiki hii watakuwa wamekamilisha usajili wa Coutihno (120M) na Martinez (32M)...lakini cha kushangaza kwenye app yao (Barcelona Live) wamepost picha za wachezaji (Coutihno, Dembele, Seri na Martinez) wakisema "Barcelona won't spend crazy".... Sema ukweli wamenikata steam balaaaa

"Life+time"
Coutinho to Barc is almost deal done source[ ESPN UK]
Ila uongozi w Barca very slow! Wikendi iliyopita walisema mpaka kufikia j5 wiki hii watakuwa wamekamilisha usajili wa Coutihno (120M) na Martinez (32M)...lakini cha kushangaza kwenye app yao (Barcelona Live) wamepost picha za wachezaji (Coutihno,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barcelona kuna wachezaji wengi ambao wanatakiwa kuuzwa
......Andre Gomez
......Sergi Samper
......Thomas Vermaleni
.......Arda turani
.......Paco Alcer

kwa mtizimo wangu watu wakusajili ni hawa hapa
.......paulo Dybala
.......philipe coutinho
.......Eden Hazard

Watu wa kupewa nafasi katka timu

Carles Alena dogo yuko vizuri anaweza kuwa mbadala wa Ineasta

Muniri nahci yupo vzur ukilinganisha na Paco Alcer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo page sometimes inazingua fanya kuwafollow ESPN UK fb,hawa jamaa wako more updated.hata hao Barcelona live na goal.com Mara nyingi wanatoa habari kutoka ESPN UK
 
Ila Paco anamatatizo gani? Kwenye mechi hafungi kwa ukawaida. Hadi penalty anakosa kiuzembe. Amekuwa mzigo mkubwa. Amepiga penati kama mchezaji wa RM😉🙂🙂
Yani huyo mtu ni mbovu mara 10 kushinda hata Andes Gomes
 
Sergi Samper yuko vizuri mtoe hapo ana future nzuri sana akipewa muda wa kucheza zaidi
 
Jamani management inafanya kazi underground siku wakiibuka wanakuja na nondo hatari sana ,kuna usajili nilishasema nyuma uko tayari umekamilishwa
Kuna sababu zinasababisha ifanye kazi hivyo mfano Dembele hadi Real Madrid wanajifanya wanamtaka kitu ambacho inasababisha bei ya mchezaji kupaa juu
So lets calm down mambo mazuri hayahitaji haraka
 
Mkuu mwekundu ni kweli acha tuvute subra ila yataka moyo kweli kweli na siku zinazidi kukimbia balaa hii habari ya Few hours later zinazingua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Barca itamtambulisha Coutihno Camp Nou kama mchezaji rasimi....



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Coutinho since last week waliahidi atatambulishwa siku ya Super Cup 13/08 Camp Nou against Real Madrid
Huu ni usajili ambao ni ahadi ya moja kwa moja kutoka kwa Rais Bartmeour baada ya kushindwa deal la Veratti kwahiyo kutakua na signing nyingine kubwa kabla ya transfer window haijafungwa
Stay tuned ni suala la ufundi na muda tu wakuu
 
Jipeni moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…