Mkuu ulikua unataka tujipe kiuno?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ulikua unataka tujipe kiuno?
This shows how desperate you are. Na hivi mnaamini such news kama hii?
Yaani bora hata wangekaa kimya tu. Mara wameshakubaliana, Mara wamekataaa! Sasa tuelewe nini.....
Daah basi bana ngoja tusubirie...Watasajiliwa tu msijali wakuu, ni swala la mda tu. Na wanasema kesho watatambulisho, kwahiyo sio mbali tutajua ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. Hapa ndo bora unaona n bora tucsajili..... Kama dembele amefikia huko bac tuache tu... N mda wa kutumia vijana wetu... Hata hivyo tatzo letu c mbadala wa neymar bal mbadala wa iniesta na xavi..To be honest issues za Dembele na Coutinho zinazidi kuwa complicated
Tatizo team nyingi zinajua tuna fedha ndefu
Kwa mfano Dembele ni wa kununuliwa €150M?kama sio uchizi nini bora dadake tutulie tu na hela zetu ,hata huyo Coutinho from €45M to 120????
Maamuzi magumu yanahitajika
Nakubaliana na uongoz.... Wachezaj wa kawaida sana hao... 100% wavunje kabat kwa thiago alcantara...Ila uongozi w Barca very slow! Wikendi iliyopita walisema mpaka kufikia j5 wiki hii watakuwa wamekamilisha usajili wa Coutihno (120M) na Martinez (32M)...lakini cha kushangaza kwenye app yao (Barcelona Live) wamepost picha za wachezaji (Coutihno, Dembele, Seri na Martinez) wakisema "Barcelona won't spend crazy".... Sema ukweli wamenikata steam balaaaa
"Life+time"
Ila uongozi w Barca very slow! Wikendi iliyopita walisema mpaka kufikia j5 wiki hii watakuwa wamekamilisha usajili wa Coutihno (120M) na Martinez (32M)...lakini cha kushangaza kwenye app yao (Barcelona Live) wamepost picha za wachezaji (Coutihno,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuanzia huyo dyabala , cout, na hazard wala hatuna pa kuwaweka... Hakuna mkabaj wala ball dancer hata mmoja hapo... Wote n wana riadha... Tunataka replacement ya iniesta na xav hata kama tukikosa bac atleast dembele ana uwezo wa ku offer ukabaj kuliko hao mizgo wengne... Uongoz unatakiwa ukae chin utathmn kilichotu cost last seasonal... Tatzo kubwa n mildfield na full back.. So kama wamempata fullback na mda sasa wa sergio robert kurud shimon na atafutiwe mjanja mwingne alcantara ama dembele or dyabala... Not coutinho aiseeBarcelona kuna wachezaji wengi ambao wanatakiwa kuuzwa
......Andre Gomez
......Sergi Samper
......Thomas Vermaleni
.......Arda turani
.......Paco Alcer
kwa mtizimo wangu watu wakusajili ni hawa hapa
.......paulo Dybala
.......philipe coutinho
.......Eden Hazard
Watu wa kupewa nafasi katka timu
Carles Alena dogo yuko vizuri anaweza kuwa mbadala wa Ineasta
Muniri nahci yupo vzur ukilinganisha na Paco Alcer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cant be seriousdembele kwa little magician anaingia mara tatu acha kutazama kwenye youtube nisamehe mkuu kama nimekukwaza
Ww dada mpira unaijua aisee...board ya barca kuna tatizo sergio robert ni mzuri sana kwenye midfielder mechi zote za msimu uliopita za Elclassico alionyesha uwezo wake kumwacha aondoke kwa pesa kiduchu ni dharau na watakuwa hawajamtendea haki. Spectulation zimekuwa nyingi mpaka kelo uza gomes, varmeleeen, munir elhadad, Paco alcacer na toa kwa mkopo Denis Suarezi ili apate
uzoefu wa kutosha
ifikie kipindi barca waaachane nae nafasi yake inaweza kuchukuliwa na Michael Jean Serri. tukimpata mpata dembele toshaaaa kabisa. Calles allena ataendelea kupata uzoefu na ndo iniesta wetu ajae. Paco, Gomes, Vamaleen,Munir elhadad wamedhauzwa?Jamani Neymar anatunafikia kwa Coutinho, huyu dogo aondoke vizuri Barca hata kama anatuchukia sio kwa style hiyo tunajua na tunauheshimu urafiki wake na Coutinho, nasikia ame propose kwa management ya PSG dogo anunuliwe so liverpool wanam reserve ili wapate fedha ndefu zaidi