FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi tena, watatuua mwaka huu
Ha ha another joke please
Hivi Messi si ndo barcelona?au ndio ile design kama hautaki kitu unafanya kituko tu

Nimefurahi sana Coutinho alipo press "transfer request form" nguvu ya hii form ni official request ambayo inafika hadi kwenye chama cha soccer cha England kuhusu demand ya mchezaji chama fulani so Liverpool wanatakiwa wawe wapole.....halafu jamaa hana mambo mengi ya kibishoo
Niishawahi kumsikia steven Gerald anasema last week "kuwa wabrazil wengi wakiwa nyumbani kwao tangu wadogo dream yao ni kuchezea FCB so hatutakua na nguvu sana yakumzia Coutinho "
 
Akija itakuwa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…