FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Baada ya Liverpool na Dortmund kukataa hela za Barcelona
Wanawake wanatabu huko Catalunya [emoji23]
 
Tetesi za leo

Coutinho amegoma ku train na Liverpool ili kuharakisha transfer yake na preparation zakuelekea FCB

Yeri Mina -sources nyingi za Columbia zimeripoti tayari Barcelona wameshaingia contract naye bado kutambulishwa tu ,vilevile legend wa Barcelona Xavi hakuacha kumsifia kuwa "Yeri ana DNA ya Barcelona na anaweza aka fit kwenye dimba namba yoyote ya katikati"

Kubusu Dembele amewagomea Dortmond hata kufanya mazoezi kwa sababu ni kinyume na makubaliano yao kuwa ataichezea Dortmund ila akihitajiwa na team kubwa yoyote atauzwa
Lakini utata Madrid inasemekana wametoa ofa kubwa zaidi ya Barcelona (double cross) ili kumnasa playmaker huyo
 


Mkuu unatakiwa ukasome maneno ya kutoka mdomoni mwa mwenyewe Coutinho. Achana nao wanaotafuta followers Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…