FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Chelsea wamekubali kumuuza hazard kama barca wakitoa paundi milioni 109.....countinho naye liva washalegeza +uku dembele negotiations na barca zinaendelea vizuri....aya sasa wakuu apa 2chukue na na nan??
 
Match ya leo kwa majira ya East Africa Time ni saa tano kamili usiku (23:00)
Barcelona ni wenyeji tukiwakaribisha Los Blancos
Supersport 7 itaonyeshwa nadhani na Azam Tv
Spanish sup Cup ,Barcelona ndio defending champions baada yakuifunga Sevilla mwaka jana nje ndani
Kikosi cha Barcelona ni pamoja na goalkeeper kutoka Barcelona B Adrian Artola Vano

Messi kama kawaida kuanzia Preseason GP monitor tracker yake inasoma vizuri sana kushinda mchezaji yoyoye yule kuanzia pulse rates,acceleration rates za short distance 32M na long distance ,Heartbeats etc
Na yeye ndio anashikilia record yakuwafunga Real Madrid magoli mengi sana (23) katika El Classico
Na ndio mchezaji ambaye anashikilia kufunga magoli mengi sana kwenye Laliga tangu ianze 1898 baada yakuvunja record ya Telmo Zara mwaka 2013 January ,record ambayo ilikaa tangu mwaka 1955
Na ndio mchezaji ambaye idadi ya vikombe vyake alivyowahi kuvichukua vinazidi umri wake (31) na ndio mchezaji mdogo kabisa ku win Bal On Dor mara tatu akiwa umri wa miaka 23 tu ,umri ambao Ronaldo alifunga Hatrick yake ya kwanza

Kubwa zaidi ya yote kuhusu match ya leo Barcelona rasmi wanarudi katika mfumo wao wa Tick taka asilia na penetration balls chini ya best scholar coach wa Johan Cruyyf yaani Velverde
 
madrid nawaogopa vijana wa2 asensio anapiga sana crosss and isco lakini wakina cesamiro mechi uliopita mess alimpanikisha
 
Match prediction Barcelona 5- Madrid 0
barca ya pep ndo barca bora iliowahi kutokea na yule kocha alifanikiwa kwa kujikita zaid kwenye lamasia kwahiyo sitegemei hayo matoke ukizingatia atakayemkaba ronado sijui ni semedo au vidal lkn sergio robert asikose
 
Mpira wetu ni collective football huyo Ronaldo wako Semedo ni zaidi ya Lindeolf
Kama hajaotea hautamuona
 
Yani nimechoka kwa hilo sengerema paulinho kuja barca.....aiseeee nimestuka sana nina uhakika msimu hujao tutauza kwa hasara nahisi kuna fraud hapo aiseee
 
Chelsea wamekubali kumuuza hazard kama barca wakitoa paundi milioni 109.....countinho naye liva washalegeza +uku dembele negotiations na barca zinaendelea vizuri....aya sasa wakuu apa 2chukue na na nan??
countinho na dembele lile sengerema paulinho wametupiga hela zetu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…