Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
walikataa ya 72 na 90 ila hii 100 ni Ngumu KuchomoaHii imeshakataliwaga mda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walikataa ya 72 na 90 ila hii 100 ni Ngumu KuchomoaHii imeshakataliwaga mda sana
Gazeti la udaku hilo kama atahama Chelsea klabu atakayohamia Hazard ni Real Madrid na sio Barcelona
Aisee habari nzuri sana hizi kuzisikialiverpool wameanza kun'goa matangazo ya coutinho kwenye maduka yao
What a great news!
barca ya pep ndo barca bora iliowahi kutokea na yule kocha alifanikiwa kwa kujikita zaid kwenye lamasia kwahiyo sitegemei hayo matoke ukizingatia atakayemkaba ronado sijui ni semedo au vidal lkn sergio robert asikoseMatch prediction Barcelona 5- Madrid 0
Mpira wetu ni collective football huyo Ronaldo wako Semedo ni zaidi ya Lindeolfbarca ya pep ndo barca bora iliowahi kutokea na yule kocha alifanikiwa kwa kujikita zaid kwenye lamasia kwahiyo sitegemei hayo matoke ukizingatia atakayemkaba ronado sijui ni semedo au vidal lkn sergio robert asikose
Arda abaki,Gomez,Paco,mathiieu,wasepe,bodi ya kingese Sana hii,hill zee paulinho la nini sasa?isco ni fan wa barca na anaipenda Sana,sijuo kwa nini haya mandezi hayalioni hill,dela la neymar lingehusishwa na verati au draxler
Sent using Jamii Forums mobile app
tena msengerema lucho katuletea magarasa lukuki nahisi ana chembe zaumadridBarca tuna magarasa mengi sana pale yameachwa na Enrique, yaan tunakuwa kama Arsenal dah!
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
countinho na dembele lile sengerema paulinho wametupiga hela zetu tuChelsea wamekubali kumuuza hazard kama barca wakitoa paundi milioni 109.....countinho naye liva washalegeza +uku dembele negotiations na barca zinaendelea vizuri....aya sasa wakuu apa 2chukue na na nan??
liverpool wameanza kun'goa matangazo ya coutinho kwenye maduka yao
What a great news!
Sio mtawapiga Bali mtapigwa tuu...leo ngapi tunawapiga hao madrid