FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Jamaa anarukaruka kama la migambo Mzee....nacheki psg ns guingamp nacheki neymoney anavyorukaruka
Historica ha ha ha
Hahahaaa hizo lazima azimiss tu apende asipendeHahaaa Neymar nahis kashaanza kumis pas za la pulga maana huyu cavan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie hizo ni salam tuHahaaa Neymar nahis kashaanza kumis pas za la pulga maana huyu cavan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawa mtamu kishenzi. Ila nafikiri kwa sasa ukizungumzia ma CB wawili bora duniani huwezi kumuacha Umtiti. Jamaa ana akili ya haraka sijapata kuona.pique leo kawa mtamu zaidi