mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Kabisa. Hawa wakicheza wao kwa wao hawanaga home advantage!Madrid v Barca wanapokutana matokeo huwa hayatabiriki. Kama unabisha bet hii second half na second leg nani atashinda...
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu vidal kimeo mtu mzito kama nini halafu yule mtoto aliecheza namba ya neymar nae kimeo tuVidal hamuwezi Marcelo
kwanini semedo hajaanza yule fala vidal amekaa mwaka mzima lakini habadiliki aiseeeOk match tumeikosea kwenye ku score na RB
Tumetengeneza chances nyingi sana tukashindwa kufunga na pia midfield hawajafanya kazi yao ipasavyo ,pass tengefu hazijatengenezwa vizuri na left wing hawakufanya roles zake mwisho Terstegen leo ametulisha nywele zile kick sio za kiwango cha yeye kushindwa kuzitoa
Kwanini match kama hizi Macherano asinge fit kule kama Pseudo (fake ) RB?
Agiza bia popote ulipo tafadhaliiBarcelona 1-3 real Madrid.
Kama unataka kubet changamkia dili hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya Pseudo RB. Kwanini asingecheza semedo FFS!? Vidal right flank ilishamshinda.Ok match tumeikosea kwenye ku score na RB
Tumetengeneza chances nyingi sana tukashindwa kufunga na pia midfield hawajafanya kazi yao ipasavyo ,pass tengefu hazijatengenezwa vizuri na left wing hawakufanya roles zake mwisho Terstegen leo ametulisha nywele zile kick sio za kiwango cha yeye kushindwa kuzitoa
Kwanini match kama hizi Macherano asinge fit kule kama Pseudo (fake ) RB?
Kabla ya Semedo Coach itamlazimu aanze na 3-4-3 Ahakikishe beki fake ya kulia anakua Macheranokwanini semedo hajaanza yule fala vidal amekaa mwaka mzima lakini habadiliki aiseee
Povu debeee, mnazika hapa hapa au mnasafirisha???Dennis kabadilisha mpira japo tumefungwa. Huyu anavua shati na kujiangusha anafikiri refa basha wake.
beki hapandishi timu kabisa nyuma napo haeleweki basi tabu tupu.....huyu deleof hakabi wala kunyambulika kwenye box hawezi mwaka huu watatuua kwa preshaNext match tutashinda ila Aleix Vidal apumzishwe na Deleof akae kwanza kando aelewe mchezo Dennis aanze ,vilevile Macherano aanze kucheza kama fake RB wakiwa mabeki watatu team inatulia sana
Hahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha Sasa hapo angefanyeje kwa mfano???