FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ila huyu Deulofeu anapiga krosi za kindezi kweli. Hawezi kucut in?
Huyu ndio mrithi wa neymar, hahahahahahahaha hahahahahahahaha mnaumwa nyie watu, pengo la neymar halizibiki!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
beki hapandishi timu kabisa nyuma napo haeleweki basi tabu tupu.....huyu deleof hakabi wala kunyambulika kwenye box hawezi mwaka huu watatuua kwa presha
Tatizo la Deleouf alikua hapigi mipira ya outer i.e haingizi mipira ndani (cross) na pass accuracy zake kuingiza ndani ilikua very poor
 
yani yule vidal kama darasani basi hafundishiki aiseee
 
Leo nmekubal... Ractic na kocha wametufanya tufungwe game ya leo... Iniesta was the best ractic was the worst ever...


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Replacement ya Neymar ni Referee
 
Hahahahaaaa.... Kaka una mpira wa kukalili kwel... Last seasonal tulikua na neymar lakn tatzo lilikua bado n hil la viuongo wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukumbuke kuja kutoa pongezi baada ya dakika 90
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 hongera sana, mlikuwa 12 vs 10 men na mkakalia kitu chenye ncha kaliiiiii

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…