Mkuu tangu xav aondoke ractic kacheza misim miwil tu intensively... Mtu ambae hanyumbulik tena kiungo n tatzo kubwa sana... Ndo el classical za mwanzo kabsa enrique alimtumia sergio ribert, iniezta. Na busquet... Ractic making mbovu... Jaribu kufuatilia hata game ya psg last seasonal... Alizengua sana... Footwork imepungua mno... Huyu n wa kuuzwa tu...Nahisi Rakitic kama hakuna RB mzuri huwa anapoteana.
Umtiti kamuacha mbali sana Ramos. Labda kama unaleta unazi.Ndio maana nimehoji UTIMAMU wa akili yako mkuu..!
Kama Ramos hayumo katika hao wawili inawezekanaje akawemo Umtiti..!?
Mkuu tatzo letu c winga... Bal viungo... Tangu zaman enz za kina kluvert na rivado na ronaldo de lima hatukuwah kutegemea winga... So hii ndo weakness ya board ya barcawe nawe unazingua unasema hamna coutinho wala dembele winga ya kushoto atacheza nani, wote muhimu apo sergi roberto anacheza kwa raktic na iniesta yuko sawa sema umri anahitaji mbadala hawezi kua na consistent uku Dembele anatulia winga ata ya kushoto
Uko sahihi mkuu ila asiuzwe mi toka kitambo natamani Raktic awe mbadala wa Sergi Roberto yan Sergi roberto awe anaanzaMkuu tangu xav aondoke ractic kacheza misim miwil tu intensively... Mtu ambae hanyumbulik tena kiungo n tatzo kubwa sana... Ndo el classical za mwanzo kabsa enrique alimtumia sergio ribert, iniezta. Na busquet... Ractic making mbovu... Jaribu kufuatilia hata game ya psg last seasonal... Alizengua sana... Footwork imepungua mno... Huyu n wa kuuzwa tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii timu ni mbovu kiuhalisia ukilinganisha na Real Madrid ya sasa hivi,kila siku nakuelezea.Timu ya kumfunga Real Madrid 5/6 ilikuwa ni ile ya Pep sio hii ya wachezaji wabovu
Timu imecheza hovyo sana leo. Mzimu wa RB/alves bado unatuandama. Vidal haiwezi ile nafasi dhidi ya timu kubwa. I hope jtano tutaanza na Semedo. Bado naamini tuna timu ya kumfunga RM 5 nikiangalia chances tunazotengeneza. Tumepiga kona kama 12 dhidi ya 4/5. Bado tuko vizuri kwenye kuattack. Ni vile Del na Vidal walikuwa watepetevu.Hii timu ni mbovu kiuhalisia ukilinganisha na Real Madrid ya sasa hivi,kila siku nakuelezea.Timu ya kumfunga Real Madrid 5/6 ilikuwa ni ile ya Pep sio hii ya wachezaji wabovu
Kama umeangalia mechi zote mbili huwezi kuja na hitimisho la kizembe namna hii.Yaani nyie jamaa ni bure kabisa, game ya man utd vs madrid, vimdomo mdomo vingi na kuhusu wachezaji wetu kama lukaku mara mzito mara blah blah... Nyie leo mmecheza 12 uwanjani na messi akiwa ndani mnakula magoli 3. Mna akili kweli nyie!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona 1-3 real Madrid.
Kama unataka kubet changamkia dili hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuwa wamejitahidi sana. Sijui timu zingine zinashindwaje kuwafunga. Ukiwacheki hata msimu uliopita walikuwa wanashinda jibahatibahati kweli.
Sio making tu hata pass hovyo mipira mingi alikuwa anapoteza kizembe.ile barca ya pep sijui kama tutaipata tenaMkuu tangu xav aondoke ractic kacheza misim miwil tu intensively... Mtu ambae hanyumbulik tena kiungo n tatzo kubwa sana... Ndo el classical za mwanzo kabsa enrique alimtumia sergio ribert, iniezta. Na busquet... Ractic making mbovu... Jaribu kufuatilia hata game ya psg last seasonal... Alizengua sana... Footwork imepungua mno... Huyu n wa kuuzwa tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki msengerema kweli hasahambulii kukaba napo akabi anakimbia kama kashiba viaziAlex vidal??...a definition of disgrace. ....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Wtf?? Poor defending from our back line. Kwa football hii siza. Kama tutafika popote this season.
Iv kwann wasitafute mbadala wa pique?? This man is tired aisee.. he definitely need a break.