Mkuu tangu xav aondoke ractic kacheza misim miwil tu intensively... Mtu ambae hanyumbulik tena kiungo n tatzo kubwa sana... Ndo el classical za mwanzo kabsa enrique alimtumia sergio ribert, iniezta. Na busquet... Ractic making mbovu... Jaribu kufuatilia hata game ya psg last seasonal... Alizengua sana... Footwork imepungua mno... Huyu n wa kuuzwa tu...Nahisi Rakitic kama hakuna RB mzuri huwa anapoteana.
Sent using Jamii Forums mobile app