FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Habari ya Coutinho link umeweka ya Paulinho, So far hakuna makubaliano yeyote kati ya Barcelona na Liverpool kuhusu uhamisho wa Coutinho
 
Iyo link mbona ni ya paulinho?
 

Kocha nadhani hua anaingia kichwani mwangu hii march kwa kumuanzisha S Roberto na Macherano tayari tumeshashinda
Formation yakuzivunja full back zote tayari ni ushindi ,fake RB na LT viungo wengi katikati ni overwhelming game ,high pressing ,attack attack Forca Barca

Match prediction Barcelona 4-Madrid 1
 
Haya haya wana amsha amsha amsha kwenye playground yetu Bernabeu tunaua nakuchinja kabisa tunatenganisha kiwiliwili na kichwa
 
Terstegen nae ameongozeka uzito nahisi huu mwanzo wa season unakua na issues kibao
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…