Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Ni pengo na neymar na sio iniesta!!Pengo la Iniesta naliona aisee
We maku umeanza kushangilia mpira 2013 sio kosa lako ,Barca ime exist kabla hata ya huyo jamaa yakoNi pengo na neymar na sio iniesta!!
Japo mtapinga lakini neymar kaacha pengo kubwa sana!! naona messi na suarez wamepoteana kabisa kule mbele!!
Barca is finished! Wahenga fcNaona unashangilia kombe la glass
We tangu lini ulishangilia Barca u are a jokeBarca is finished! Wahenga fc
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Tuliwapiga bila neymar mwezi wa tano. Ni pengo la Iniesta.Ni pengo na neymar na sio iniesta!!
Japo mtapinga lakini neymar kaacha pengo kubwa sana!! naona messi na suarez wamepoteana kabisa kule mbele!!
Mbona unamtolea mdau matusi mkuu hahahahhaaaaaaa kweli dawa imewaingia!!!We maku umeanza kushangilia mpira 2013 sio kosa lako ,Barca ime exist kabla hata ya huyo jamaa yako
Utasema yote mwaka huu. 1st leg Iniesta hakuwepo? Jibu unalo na mlipigiwa kwenu. Kumbuka Iniesta ashakuwa babu kisoka.Pengo la Iniesta naliona aisee
Iniesta na Ronaldo age moja unasemaje kibaka?Utasema yote mwaka huu. 1st leg Iniesta hakuwepo? Jibu unalo na mlipigiwa kwenu. Kumbuka Iniesta ashakuwa babu kisoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uhuni wa Suarez unaujua?Sure ,Ramos bila uhuni hatapata mshahara pale Bernabeu mchezaji muhuni kama jambazi msela nondo
Ndio naujua alikuvunjia yai
Hata AC Milan walianza hivi hivi!!mmmh.. BADO NAIAMINI barca tuu aisee
We maku umeanza kushangilia mpira 2013 sio kosa lako ,Barca ime exist kabla hata ya huyo jamaa yako
We unavaaga suruali ina zeep na tundu kwa nyuma tumesikia habari zakoAcha matusi kaa vizuri ukuingie
Kwani kamfanyia nini mkuu?? maana mi naona ramos anawafyagia kama hana akili nzuri!! yaani hawafurukuti kabisa!Poleni wakuu..me ni shabiki wa UNITED na MADRID ila kitendo cha RAMOS alichomfanyia MESSI ni UTOTO wa Kijinga..sijapenda kabisa yan.
Sent using Jamii Forums mobile app