FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni pengo na neymar na sio iniesta!!

Japo mtapinga lakini neymar kaacha pengo kubwa sana!! naona messi na suarez wamepoteana kabisa kule mbele!!
We maku umeanza kushangilia mpira 2013 sio kosa lako ,Barca ime exist kabla hata ya huyo jamaa yako
 
HAHAHAHAHAAAA DUUUUHKWELI LA KUVUNDA HALINA UBANI!!

KWA KIFUPI MMEPOTEANA UWANJANI!!

MKO KAMA KUKU AMEKATWA KICHWA!! YAANI MNARUKA RUKA TU HAMUELEWEKI HAHAHHAAA PIGAAA!!
 
Mlizani REAL MADRID ni PSG eeh!! yaani mlikua mnajua mtawafunga tatu bila pale bernabeu??

Haya sasa mnasomeshwa namba!!

5-1
 
Back
Top Bottom