FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyo unamtaja amewahi hata kucheza fainali?
Ana kombe la bara lake mkononi,huyo wako ana nini mkononi ukiachana na ngazi ya klabu? Ukikataa siwezi kukulazimisha ila ukweli,kimataifa Messi ni failure ndo maana kuna wakati alipata tafrani(frustration) akaamua kujistaafisha timu ya taifa baadaye alipomkumbuka Cr7 akarejea lakini bado hajafanikiwa,ana tofauti gani na John Boko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwanza we makalio toeni picha za Neymar kwenye thread yenu. Ahusiki na vichapo vyenu mnavyopata siku hizi
 
Hakuna mechi ambayo Andre Gomes amewahi kuanza na tukashinda, tukibahatika kupata matokeo ni suluhu tena ya taabu sana.
 
Reactions: PNC
Barcelona sio lelemama na kufungwa hatujaanza leo hivyo hilo ni dua la kuku



Sasa hivi ni mwendo wa vipigo tu. Msipoangalia hata Getafe watachukua point 6 mwaka huu
 
We unaishi kwenye ulimwengu wa giza endelea kuamini mahoka yako
 
😀😀😀😀😀
 
Huyu kocha mpya ana kaz kubwa ya kufanya. Beki na middle ziko vibaya sana. Msimu huu nadhan utakua kama ule wa tata martino. Will be nothing new.
Hatutatoka na ndoo hata moja wazee.
Nikiiangalia timu yenu khalafu nawakumbuka watu hawa
Puyol
Xavi
Valdes
Na sasa iniesta
Viumbe hawa hawajapata warithi ni hii ndio sanaa ya barca wapo mashabiki wanakiri mapungufu hawa niwatakie kila la kheri kuanza kujenga timu ya ushindi.
 
Messi 30, Iniesta 33, Mascherano 33, Busquet 30, Pique 30 na sasa mnamsaini Paulinho 29. Is it football club or retirement home?
 
Ha ha u are a joke so hauwi best hadi uifunge Barca shame on you


Wewe mwekundu naona unatupigia makelele yako tu humu.
Mechi tumefunga, tumegongwa nje na ndani, kombe limebebwa wewe bado unajifanya kichwa ngumu...
Hutaki kukubali kuwa pengo la Neymar halitazibika...
Kubabake kama unaendelea kuleta unafiki wako humu tutamuambia Admin aku remove.
Acha Ujinga. Tumefungwa. Na mwaka huu sioni dalili ya kombe lolote kuja Camp Nou.
 
We sio shabiki ni mfuata upepo sio kosa lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…