balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ana kombe la bara lake mkononi,huyo wako ana nini mkononi ukiachana na ngazi ya klabu? Ukikataa siwezi kukulazimisha ila ukweli,kimataifa Messi ni failure ndo maana kuna wakati alipata tafrani(frustration) akaamua kujistaafisha timu ya taifa baadaye alipomkumbuka Cr7 akarejea lakini bado hajafanikiwa,ana tofauti gani na John Boko?Huyo unamtaja amewahi hata kucheza fainali?
Sent using Jamii Forums mobile app